Dea Moda (Freestyle) Lyrics
Dea Moda (Freestyle) Lyrics by SSARU
First time ulinicheki kwa mbulu
Najua ulishtuka hadi ukapiga nduru
Uko surprised ati Ssaru ndiye huyu
Wakati ulinicheka juu niko na katululu
Unajifanya umekuja kwangu kuzuru
Na si tunakujua buda we ni kunguru
We unahate unajifanya we ni guru
Nami nikikucheki nakuona ka kalulu
Boom ka kalulu mi naroll na Uhuru
We kwa ngori bado mi nakunusuru
Mashallah naogopa kukukufuru
Huyu ni Mungu bado ananiweka kwa nuru
Ah mtu ako huru sa nipate Buru
Watakuteka ju uko class ya gumbaru
Ah mtu ako huru sa nipate Buru
Watakuteka ju uko class ya gumbaru
Ka we ni rapper buda kaa rada
Ju ka niko around mi ndo huwanga kamanda
Niko hapa nimekuja kumada
Na venye mi natema nakuonanga mshamba
Meda ni less haipiti mtu saba
Ka ni kuadisia adisia tu wamatha
Hao wengine ni watoto wachanga
Wanalalanga sana mpaka wanavunja kitanda
Ka niko late nakujanga kama mwanga
Hii ni kali utachase tu na waba
Nipate baze nikuseti tu mawada
Mi ni mless na napendaga eh eh
Hii ni team ya wakanda
Hatubagui ju mpaka kuna wakamba
Hakuna mtu anamind wewe tamba
Ka ni looku daily si hudunga pamba
Siku hizi wametii wananiita dea moda
Daily niko mboka sitaki kurudi mochatha
Wamelegeza na nakuja kuwakaza
Staki nidiss stori zishafika Tanga
Wewe mnafik na unajifanya rafik
Sa enye nakuhitaji unadai umekwama kwa traffic
Wanafaa kutense ju nimegundua tactics
Staki hizo mapenzi zenyu fake niko elastic
Sikiza baby boo sikupi penzi la uduu
Mi nishalegeza njoo unibebe juu juu
-- baby me I want you
We ndo unafanya roho inadunda duu duu
Ah tuma fare sina ganji na reverse
Wako mi, mi nafeel down regards
Addi teacher kwenye film no regrets
Rap....
Sa nimefika nimekuja kuwareplace
Alafu zao ni kama walimisplace
Zangu ninazo cheki sasa niko this same
I'm the baddest kwa game nipe respect
I'm the baddest kwa game nipe respect
Moda, moda, moda, moda..
Watch Video
About Dea Moda (Freestyle)
More SSARU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl