Rapper Vile Inafaa Lyrics
Rapper Vile Inafaa Lyrics by KIGS THEE MUSIQUE
Yeah! Kigs thee
Kigs ndo rapper vile inafaa
Daily natesa vile inafaa
Nimeteveva vile inafaa
Seti mapunchlines vile inafaa
Ka ni mistari nimechana kadhaa
Dis na beef si nilikataa
Piga mashughli na watu masuti
Nadunga tu kladi jo vile inafaa
Kigs ndo rapper vile inafaa
Daily natesa vile inafaa
Nimeteveva vile inafaa
Seti mapunchlines vile inafaa
Ka ni mistari nimechana kadhaa
Dis na beef si nilikataa
Piga mashughli na watu masuti
Nadunga tu kladi jo vile inafaa
Track ya kigs quicky hufiki
Vako za celeb looku ni ticky
Kali mitaani tricky kwa mbulu
Mziki imejipa si ati ni nini
Siri ya mziki mistari ni tricky
Mahater utapigwa risasi kwa ngoma
Hasira za kwangu mawera na tizi
Niko busy Kwa grao nasaka shilingi
Nasaka chapaa jo vile inafaa
Nasonga na saa vile inafaa, bazenga wa mtaa nateketea
Ni kama nitetiwa ngataa
Tukipatana unajua ni balaa
Ngori ni genje
Nijenge matenje walenje
Vibenje zisonge nasaa
Rende ya wasee wa genge
Kwa video wanaseti, vile inafaa
Kigs ndo rapper vile inafaa
Daily natesa vile inafaa
Nimeteveva vile inafaa
Seti mapunchlines vile inafaa
Ka ni mistari nimechana kadhaa
Dis na beef si nilikataa
Piga mashughli na watu masuti
Nadunga tu kladi jo vile inafaa
Kigs ndo rapper vile inafaa
Daily natesa vile inafaa
Nimeteveva vile inafaa
Seti mapunchlines vile inafaa
Ka ni mistari nimechana kadhaa
Dis na beef si nilikataa
Piga mashughli na watu masuti
Nadunga tu kladi jo vile inafaa
The trapper, the trapper, the trapper
Watch Video
About Rapper Vile Inafaa
More KIGS THEE MUSIQUE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl