KIGS THEE MUSIQUE Kigs Ndo Baba Yao cover image

Kigs Ndo Baba Yao Lyrics

Kigs Ndo Baba Yao Lyrics by KIGS THEE MUSIQUE


Yeah Kigs thee poet...
Kwanza nashukuru Papa Jones
Kwa kunipa beat
After imehit
Also I would like to thank everybody who has shown up for this session
Enyewe mbiu ya mgambo ikilia bila shaka Kuna Jambo, mhah
Si ati mimi Ni mhenga lakini pia mapunchlines mi ndo nafor m
Mistari mature si za kitoto zinatemwa..
Haahh ati Kigs ndo baba yao
 
I remember the first time kuongea na
Artists alinishow ati industry iko na compe ile tough
But after kupiga ya kwanza mm nikakua mtough
I told them that Kigs ndo baba yao
 
My name is Kiganga but jus call me
Kigs ntaitika juu mistari mimi huganga
Na kuroga..Kigs kuficha white ndo niwatese
Mafans nliwashow nakam Na doba moja
Kali yenye itawachanganya and this is the
Beginning juu hamradi..
Nikitupa mistari jua Kigs ndo baba yao
 
Najua mnajua but pia jua hujua lakini mwisho wa siku hutua
Ndo mtajua hamjui, hasira to the bream
Wacha nijaribu ngoso
 
I wanna thank everyone for the attention i've got from you fans
Lakini lugha ya mama siwachi
Roundi hii ni kuchanganya ulimi Sacco
Ati Kigs ndo baba yao
 
Wordsmith Kigs thee the King of spoken
Taking western Kenya to the world
After this nanusia bet nominee
In ten years to come
Si mbali juu naionea kwa kioo
Haah ati Kigs ndo baba yao
 
Nlikushow sijiiti upcoming ata venye nlikuwa bila doba but u didn't believe
Sasa unasaka dictionary na kamusi..
Haaah hata nimechoka juu nikiendelea utaanza kugoogle
Nlianza kama dreamer, nikawachanganya
Na kuwagawanya mkitafutana na torch saa sita mchana
The current generation ikawa funny mkajikuta huko
Sasa kwa game Kigs ndo baba yao
Kama OG soon track zenu ntakojolea
Juaa mimi bado ngoma wavy
Salute the poetry King Kigs thee musique..
From the Luhya land.....
The last but not the least
Salute Kigs thee poet..
 
Ama vipi mimi ndo baba yoh ama vipi mi ndo baba yoh...
Kwa game Kigs ndo baba yoh
Nikumaliza verse...nimepull up na spoken

Watch Video

About Kigs Ndo Baba Yao

Album : Kigs Ndo Baba Yao (Single)
Release Year : 2020
Added By : Kigs thee musique
Published : Dec 04 , 2020

More KIGS THEE MUSIQUE Lyrics

KIGS THEE MUSIQUE

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl