Maintain Lyrics
...
Maintain Lyrics by SSARU
Leo ni jumamosi
Saa ni ssa sita
Imefika ile siku ya kukubali mi ni cheater
Nimeamkia supu na kindukulu nashuku mausiku
Kama kawa ni maform zijipa
Wapi kunashika casavera ama quiver
Naeza piga zangu timber
Ndio nisunde shada shida
Nikifika staki mtu aniambie niteme jaba
Niko na ubad na ughetto bado inanitatiza
Naeza sema zi mpaka zi mpaka zi (zi)
Leo ni party sijakuja wizi
Kamkoba kaupiga tizi
Na ndizi take it easy
Party si party ka bado mi sipaticipate
Shots one two naeza penda kujimarinate
Sabi girl naughty girl, hapana kujivalidate
Msupa hapana choma betwe uko sawa
Maintain ivo ivo ah weh ivo ivo
Maintain ivo ivo usilewe sana ivo ivo
Ah we ivo ivo usilewe sana ivo ivo
Mmh mmh ah ivo ivo
Usichome sana ivo ivo
Mmh mmh ah ivo ivo
Usichome sana ivo ivo
Hiyo position hiyo ndo tempo hiyo ndo ivo ivo
Ah we usioverdo
Maintain si utanivunia mguu
Mpoa ni aggressive anaileta na fujo
Naona imeanza kuwa ni vita vile unaumiza burungo
Hebu ah moshi mbili ukuwe mpole
Leo tuna stone ka maandamano za comrades
You get it
Kama bado achana navo
Tunatax team huku naitwana zakavo
Maintain ivo ivo usilewe sana ivo ivo
Ah we ivo ivo usilewe sana ivo ivo
Maintain ivo ivo usilewe sana ivo ivo
Maintain ivo ivo
Usichome sana ivo ivo
Watch Video
About Maintain
More SSARU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl