Mtoto Wa Ghetto Lyrics
Mtoto Wa Ghetto Lyrics by H_ART THE BAND
Susan wangui lost her 19 year old son derick ndungu
After a mob attacked him in kayole
Moments after he snatched
A mobile phone from a woman on Tuesday evening
Wanaenda wakivuta bangi hawaoni kitu kubwa
Juu hata kwa ile daraja ya meli saba bado wana snachingi
Mahali panakuanga na miti mbili
Naletewa kesi naletewa kesi hasikii
Na nikamwambia asiyesikia la mama yake ni kufa
Huyu mtoto nimejaribu nimejaribu kama mzazi amenishinda
Nina hisia na nina uchungu sana
Juu hata kuna saa
Kuna saa nakaa na ninalia
Nalia nalia lakini sasaa
Hata nikilia maji ikishamwagika hayazoleki
Mtaani kuna sick kids, sick teens
Wanajichocha sana
Kijana ako sixteen na big dreams
But anapenda wasichana masomo ye hajiskii kila siku d
Anaona ni ufala mzazi amembeg please but hamskii
Ameachiwa ulimwengu
Sina mengi ya kusimulia
Wananiita mtoto wa ghetto
Cheki vile ninavyopepea
Wananiita mtoto wa ghetto
Mtaani usiku maboyz wanazunguka three
Chunga hamjapatana
Mangumi mateke wapenda rush asana
Wallet itabidi umewachiana mchana
Rada safi jicho nyanya na wasichana
Wanabuss it down totiana
Wananiita mtoto wa ghetto yee
Maisha tamu
Kila siku wizi inazidi hamu ongezeka
Toka chukua hamsini imezidi mia
Polisi wameshawakanya wengi wameshaumia
Kijana mdogo na gun wamepatana
Anajua kesho jua inaweza kosa onekana
So leo
Leo raha heuka karaka
Leo sjikana na marafiki ni kusumbua mtaa bila msamaa
Mother sikia story mwaga chozi
Hajui kama mwana atarudi jioni
Kabla hajafunga macho kulala
Anamweka kwa maombi
Mola please
Mlinde asifanyiwe kama bro ya tony
Amina
Watch Video
About Mtoto Wa Ghetto
More H_ART THE BAND Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl