Asante Lyrics by AMANI G


 

Kila kukikucha, macho yafunguka
Msije sahau kurudisha shukrani
Hewa napumua nauona mwangaza wa jua
Nisije sahau wanyonge kufikiri

Nimepata baraka
Nimepata fanaka
Nisije sahau aliyenibariki

Nimepata faraja
Kwenye mwamba niko salama
Nisije sahau aliyenibariki

Nasema asante(ninasema) 
Nasema asante(ninajua)
Sio kwa nguvu  wala uwezo wala kwa maarifa
Ila ni kwa mapenzi yake Mola

oooh oooh oooh ooh oooh 
oooh oooh oooh ooh oooh

Beatiful day, 
Flowers in bloom, always in harmony(harmony)
The pasture pour way, the melody change
To sing a song a song for me

And I stopped 
To thank you for my friends and family
Without them beside me
Where will I be

No I know 
Sometimes giving up is easier
I have done, I still fight
Wanisaidia

And I know that I will 
Make it through no matter
And in you, fighting for me
My enemies are scattered

Nasema asante(ninasema) 
Nasema asante(ninajua)
Sio kwa nguvu  wala uwezo wala kwa maarifa
Ila ni kwa mapenzi yake Mola

Nasema asante(asante) 
Nasema asante(asante)
Sio kwa nguvu  wala uwezo wala kwa maarifa
Ila ni kwa mapenzi yake Mola

oooh oooh oooh ooh oooh 
oooh oooh oooh ooh oooh

Watch Video

About Asante

Album : Asante (Single)
Release Year : 2019
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 18 , 2019

More AMANI G Lyrics

AMANI G
AMANI G
AMANI G
AMANI G

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl