Zikishika Lyrics
Zikishika Lyrics by OCTOPIZZO
Check
King and you know it
King and you know it
Eey mi Kirubi cheki capital
Nimetoka ghetto mi si babi joh
Rada chafu buda kaa ridho
Gang gang ita ku carry doh
Bob Bob ita Collymore
Gokohora mi ni horrible
Niko mbele cheki horizon
Lamba lolo pewa lolipop
Bob Marley, tuko corridor
Wanyama wengi cheki pori bro
Pizzo de king Ngori yoh
Fuck popo mi ni radical
Ambia pastor a bow down
Nikikemba mi ni cardinal
Mdogo mdogo hii ni cardio
Twinning me ni Opiyo
Zikishika wika wagwan
Zikishika wika wagwan
Chura mbaya we ni tadpole
Sura mbaya lakini debe joh
Ramadhan shingo padlock
Kura iba lakini sembe no
Nikipull up toka nduthi yoh
Chini ya maji pewa suchi mob
Black cha ana try kuni rob
Niko mbele yao sana
Hawanipati ata na dawa
Bob Marley na Versace
Pewa moshi miti dawa
Mko maji kila siku
Mimi juu mimi ni shower
eey, kabla uoge kwanza manga
Stay fly me mabawa
Nikiland wanagwaya
Vintage hii ni nganya
Zako sawa zangu mbaya
Dar es Salam mimi London
Paris fashion cheki pattern
Zikishika wika wagwan
Kiti shika ka we wanywa
Fiti sima ka we wala
Nchi nzima mi natajwa
Light skin we ni walach
Hii ni jealous skiza bass man
Seti fela shika lighter
Me kushoto me ra right man
Eey chini ya waba mi ni titan
Saa mbaya cheki timeline
Nikichana me makosa
Nyinyi hamwezi bila cosign
Eey niko wavy zenyu low tide
Hamniwezi soma profile
Teli poop me ni low car
Cheki boots zangu low cut
Zikishika wika wagwaan
Zikishika wika wagwaan
Watch Video
About Zikishika
More OCTOPIZZO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl