Na Bado (Refix) Lyrics by H_ART THE BAND


Hello
Niaje Mum
Nimeona umetry kunicall
Ukinicall nilikua studio
Anyway, ukiwasha simu si unicall tupige ile story

Fungulia TV
Uone vijana wako wakifanya mambo ndani ya mitambo mama
Sauti tamu kwenye radio
Nimefika hapa juu ya maombi yako
Hata kama sijafika niendako
I know I'm on my way
Napenda ukitabasam
I hope I make you even prouder
Na uzidishiwe afya uone nikivuka border
And as I get older you can lean on my shoulder Umenifunza mengi
I remember when you told me
Don't you let nobody ever change who you are
So I keep running hata nikianguka
Straight out of heaven Malaika
Upendo wako haujawaibadilika
You said take your time why you always in a hurry
Be a star let it shine tell your story
You're a ten over ten you should know that
Hawanioni vile unavyoniona

Mama I'm gonna conquer the world with my guitar
Na Bado, Na Bado
Mama najua siku moja nitakua Star
Na Bado, Na Bado
I will be your Star

Truth or dare uko ready
Life si fair already
Tukicompare kwenda Uni au kua millionaire na dreadi
Utajiambia hii moja haikui
Passion haita’ipay
Si uache ball hauta’ikua Messi
Hata ujitolee haiwezi
So niambieni ka si madreamer world ingeonaje mapenzi
Na unapimaje wazimu kujua dream yangu ni crazy
Just needed someone to believe in me
I'm living to be more than just another boring eulogy
Na siwezitoka bila kuacha jina you'll remember me
My name will live forever may our memories together be
As nice as sunny weather days
Like your energy
I'm grateful and I'm proud of me
Siamini naacha legacy mama
Vile meli inaenda ni kama
Ndivyo ilifaa kwenda na ka si hivyo basi meli ingezama
Vile meli inaenda ni kama
Ndivyo ilifaa kwenda na ka si hivyo basi meli ingezama

I'm gonna conquer the world with my guitar
Na Bado, Na Bado
Mama najua siku moja nitakua Star
Na Bado, Na Bado
I will be your Star
Najua siku moja nitakua Star
Na bado, Na Bado
I will be your Star

Hello
Niaje Mum
Nimepata umetry kunikal
Pole Ukinikal Nilikuwa booth nikipiga Mistari
Tukiingia session lazima phone ikue silent
Utiaji utiaji tu za producer
Eeh industry inatupeleka fiti
Pesa sio mingi
Lakini mafans wanalike Mziki
Eeh Inquiry ziko Mingi Sana
Promoters tu ndio Bei Hawafiki
DJ's na Presenters Pia tumewatumia emails 3pc
MAybe frequency yetu ndio mbaya
Stations hazishiki fiti
Juzi kwanza tulipatana na Nyashinki akasema
Analike vibe yetu na Hawezi mind kukuwa kwa track moja na sisi
Eeh Alinipatia number but Sina Credit
Nitumie Credit ya Fifty nimpigie
Maybe hii ndio ile breakthrough tumekuwa tukitarajia
Aah Sio hivyo Mum
Ile Deni yako Bado sijasahau
Mfuko yangu haijakaa fiti sahii
But iko gig flani inakaa promising
Wakicheza kama hao na mimi nitacheza kama
Mimi One day nitakupeleka out Malindi
Uskie vile beach breeze hukuwanga windy
Fine Dinning Five Star na Wazungu na Wahindi
Anyway, Gotea kila mtu mtaani 19/60
Waambie Kijana Wao ako Fiti
Na Wasijali
One Day Itajipa tu
Na ikijipa tshhhh
kuweni tayaRi kuishi kama Royalty

Najua siku moja nitakuwa star
Na bado Na bado
I will be your Star

Watch Video

About Na Bado (Refix)

Album : Party Time (Album)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : May 06 , 2022

More H_ART THE BAND Lyrics

H_ART THE BAND
H_ART THE BAND
H_ART THE BAND
H_ART THE BAND

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl