Modo Man Lyrics by BOONDOCKS GANG


Boondocks gang ft Mbuzi gang -  Modo Man lyrics

Mmmh ah 
Mmh
Taniua
(mavo on the beat)

Ah modo man aki zimeshika man
Mmh ngwelo shash akiitisha zima man
Aai nikipetrol itisha Peter pan
Kaht candy bar kunapyenga inaburn aai
Ah modo man aki zimeshika man
Mmh ngwelo shash akiitisha zima man
Aai nikipetrol itisha Peter pan
Kaht candy bar kunapyenga inaburn aah

Ningekua jogoo ningelisha rungu bubu
Ungedhani kuna ngori akipiga yake nduru
Njugu kukumanga na kinduku
Marash ni ya njoti ndani ya boxer nundu
Ikus inafudhi nayo siezi kula kavu
Chuma ilale ndani aiskizie Kwa mbavu
Thobotha Thobotha ajimwagie madafu
Njoti yangu ni shash hapana nyaru
Chubwi nazama
Chubwi cheki ishaganda
Chubwi aliringa na number
Chubwi cheki ashamangwa

Ah modo man aki zimeshika man
Mmh ngwelo shash akiitisha zima man
Aai nikipetrol itisha Peter pan
Kaht candy bar kunapyenga inaburn aai
Ah modo man aki zimeshika man
Mmh ngwelo shash akiitisha zima man
Aai nikipetrol itisha Peter pan
Kaht candy bar kunapyenga inaburn aah

Pigwa kombi na sponyo wa oyole
Shika choki zikishika untolee
Na kamoti mpaka ipigwe vidolee
Na monjoti mingi ni kumwaga koree
Anahaga bigi sura ni akothee
Pigwa kishoti niko daro nachachisa na atoti
Mode wangu Anakuja daro na ako horny
Tapika Kwa scene hadi Buda umwage njoti
Mabrikan mchezo ya watoto na ni ngori
Maparty cup zote zimejazwa na namang'ori
MaBig G zote zimekulwa na madogi
Kijiji yote ishambuliwe na kimbogi

Ah modo man aki zimeshika man
Mmh ngwelo shash akiitisha zima man
Aai nikipetrol itisha Peter pan
Kaht candy bar kunapyenga inaburn aai
Ah modo man aki zimeshika man
Mmh ngwelo shash akiitisha zima man
Aai nikipetrol itisha Peter pan
Kaht candy bar kunapyenga inaburn aah

Horny nifike koinange sokoni
Thutha ni bigi buda kichwa sioni
Chapa Hio kitu hadi atoe maoni
Kwa mabeshte wake vile ulimdishia jikoni
Kabla supper ifike 
Kabla vela ishike
Si unajua mi ni ndume
Napenda vitu za kike
Na unazo
Kwanza venye nipple inapeep mlegezo
Nikubomoe nikujenge ka mjengo
Na venye nimsteady mjulus nina lengo
Na vics iko hapa nilikuja na kingo
Siezi chapa dry kuna maji migingo
Nimejaza ngeus album status ni single

Ah modo man aki zimeshika man
Mmh ngwelo shash akiitisha zima man
Aai nikipetrol itisha Peter pan
Kaht candy bar kunapyenga inaburn aai
Ah modo man aki zimeshika man
Mmh ngwelo shash akiitisha zima man
Aai nikipetrol itisha Peter pan
Kaht candy bar kunapyenga inaburn aah

Modo man nimecome na kiplan
Pedi man saka base tukaburn
Maidhaa tujikate ndo wawank
USiwagotee joh manjoti utapakwa
Kanakanikora konakona kora
Nakikora kora Kanakanikona kora
Kanakanikora konakona kora
Nakikora kora Kanakanikona kora
Msudi kashika ball ya mokorino how
Hi beat inagonga na siskii uchungu how
Seti kawada baki ainyurie now
Hii ngoma itashika hadi icheze inoro now aai.

Ah modo man aki zimeshika man
Mmh ngwelo shash akiitisha zima man
Aai nikipetrol itisha Peter pan
Kaht candy bar kunapyenga inaburn aai
Ah modo man aki zimeshika man
Mmh ngwelo shash akiitisha zima man
Aai nikipetrol itisha Peter pan
Kaht candy bar kunapyenga inaburn aah

Watch Video

About Modo Man

Album : Modo Man (Album)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019 Black Market Records.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jan 03 , 2020

More lyrics from Modo Man album

More BOONDOCKS GANG Lyrics

BOONDOCKS GANG
BOONDOCKS GANG
BOONDOCKS GANG
BOONDOCKS GANG

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl