Peng wa Mafilter Lyrics
Peng wa Mafilter Lyrics by BOONDOCKS GANG
Mmh mkuruweng, Odi wa Murang'a
Gang gang, genge la bundoksi
(Magix Enga on the beat)
Mi hukata maji kama Musa
Chapanisha manzi ka kipusa
Medusa, kipusa
Hii inafanya mpaka unaweza shusha
Tereren ten ten sitakuficha
Akisema stick sio occasion
Na weng weng weng amefuliza
Na anapenda mchezo ya kuingizwa
Rize ze zeng niwe nacheza
Huyu ni goshodo wa magiza
Aki we Njeri unanipima
Ati we si peng wa mafilter
Nilimpea round akabaki gai fafa
Akafika ground nikadhani ana kifafa
Taniua
Ati we si peng wa mafilter
Nilimpea round akabaki gai fafa
Akafika ground nikadhani ana kifafa
Tako za Jericho zimekuwa za ufafa
Si hukula mbuku hata kama haina cover
Mtoto mkubwa, anataka matiti
Ya mama yake, tokea fiti ndo dem yako aniite bae
I'm a god god ukiniona sema mee
Usiworry leta dem yako useme ngwe'
Baby boo, sema ngwe'
Kiss commander promise
Siwezi kumwaga morning
Form kunyonga nyongi
Napendaga miti kama Tazan mongi
Terere ten ten sitakuficha
Akisema stick sio occasion
Na weng weng weng amefuliza
Na anapenda mchezo ya kuingizwa
Rize ze zeng niwe nacheza
Huyu ni goshodo wa magiza
Aki we Njeri unanipima
Ati we si peng wa mafilter
Are you peng, ama ni filter
Can you dance, cabonita
Inamake sense kama inalipa
Huyu mamu aliniwai sikuitisha
Woii, wooi, pedi ameninokia
Wooii, woooii na amebonda ka bondia
Wooii, woooii sina cash chorea
Na masaa imefika
Tereren ten ten sitakuficha
Akisema stick sio occasion
Na weng weng weng amefuliza
Na anapenda mchezo ya kuingizwa
Rize ze zeng niwe nacheza
Huyu ni goshodo wa magiza
Aki we Njeri unanipima
Ati we si peng wa mafilter
Ni ponty isipokuwa kana forehead
Ni kakonki kanakaanga ma 4A
Vile kanarhyme kanakalia ka 4M
Vile kameiva nashuku kana oven
Panda panda
Panda ukipanga na njama
Na panga panga
Mkikata thutha ni banger
Twanga, tinga tinga si hupenda kukulima
Tinga tinga siwezi penda kukunyima
Kuku kima ni ka Hiroshima
Sikijui jina kinataka dinner
Kinataka bima, kinataka Dimmer
Mi nataka kanijenge irima
Kawache kunipima
Terere ten ten sitakuficha
Akisema stick sio occasion
Na weng weng weng amefuliza
Na anapenda mchezo ya kuingizwa
Rize ze zeng niwe nacheza
Huyu ni goshodo wa magiza
Aki we Njeri unanipima
Ati we si peng wa mafilter
Watch Video
About Peng wa Mafilter
More BOONDOCKS GANG Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl