Ukam Lyrics
Ukam Lyrics by BOONDOCKS GANG
Vile ninakaa niko fresh
Vile ninavaa it's my choice
Ata sure akinikataa, her choice
Cheki luku haikai, my pose
Mmmh fanya fasta ukam
Fasta ukam
Fanya fasta ukam
Fasta ukam
Uh vile ninakaa unaezadhani nina dinga
Si kama race mbuzi ndo rende so mo huringa
Na mi si kitanda usidhani utanitandika
Bars kuzipanga si ofcourse utakakati
Vhaminto, Vhaminto
Niko on heats sidai jiko
Sinyongi hadi peng aniwai kiko
Hio bash si bash ka mi siko
Sasa, fit
Uko sure hii kitu itafit
Na baby ikimwagika utasip
Nataka tukuwe friend for keep
Gee na G
Ma ex wangu wote wanatii kutii
Vile nilimwacha kama nimedig kudig
Sai dryspell wanaipiga, kupiga, cheat
Vile ninakaa niko fresh
Vile ninavaa it's my choice
Ata sure akinikataa, her choice
Cheki luku haikai, my pose
Mmmh fanya fasta ukam
Fasta ukam
Fanya fasta ukam
Fasta ukam
Unawika chuma inalika
Debe kwa nganya sauti kuskika
Hauko maubao chuma hauwezi maliza
Kanadai head na ulimi imeumika
Ngeus wa kinoi, nina chuma hupiga noise
Nina geri flani hushanda madem wanapenda toys
Ngori ngori ni ati rapper bila pesa ye ni goi
Mi ni ngori manzi yako hunicheza kitu woi
Nikaweka peddy pause, ma particles
Sha, shada ziko kwa riko
Tunavuta konki ju ni bagiko
Zimeriet ai ai ni makariko
Leo nitawadishi ka karanga ah
Huskii kuna boo boo kwani blunder ah
Huskii niko jaba so namanga
Nitawateka one one nitawapanga
Vile ninakaa niko fresh
Vile ninavaa it's my choice
Ata sure akinikataa, her choice
Cheki luku haikai, my pose
Mmmh fanya fasta ukam
Fasta ukam
Fanya fasta ukam
Fasta ukam
(Ukikawia mi naleft, mi naleft)
Fanya fasta ukam mmmh uber imelate
Chini ya maji nilicast my net
The only thing mi huchoma ni bet
Na ngwai tu kiasi see thu' yake ya net
Akija fast mi humshika by the neck
Nyongolo ukipigwa unanyongwa by the neck
Na exams ukifail basi hujapita KNEC
Mi humtick na ma X fisi ikikuja kwa Check
Ongeza volume tusere bana
Naficha sura niko undercover
Na sakere naziende zikingwata
Ziende zikingwata
Nakupiga koto na nunu inashanda
Tingika basi na unyanye sana
Nakupiga koto na nunu inashanda
Tingika basi na unyanye sana
Vile ninakaa niko fresh
Vile ninavaa it's my choice
Ata sure akinikataa, her choice
Cheki luku haikai, my pose
Mmmh fanya fasta ukam
Fasta ukam
Fanya fasta ukam
Fasta ukam
Watch Video
About Ukam
More BOONDOCKS GANG Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl