Dhidhi Lyrics by BOONDOCKS GANG

Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Gidhidhi gidhidhi bila notithi

Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Gidhidhi gidhidhi bila notithi

Uh siezi fika ndani juu ana kamote
Gathee nduku nafika ndio nisay
Madem huku nateka ebu guess
Kuna katoto nakemba na hii pace

Mama Milka, Milka
Milka donye, donye
Donye waru, waru
Waru mbosho mmh aii

Nina maninja naskia michael dudiko
Hakuna borrow rada safi ni makondiko
Kuna keroma si ameshiba na mabongi
Koro washa koro ndio afike ka amedoro

Parakasha ule ngeus bana si alinaswa
Alipatwa juu ya miti bana akaachwa
Sikiza sasa rungu viusasa
Nikuputtin hapa bana kiu Rassia

Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Gidhidhi gidhidhi bila notithi

Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Gidhidhi gidhidhi bila notithi

Choki na ngale nakucheki na kitire
Form ni ya bare nina jaba ni ya finje
Teka Wangare piga shoti umdare
Toto ni kwela chum tu kivela

Vile umenishika hata kufuli ya jela
Vile umenijaza hata hii nakukemba
Na mafuta ju cheki mi nitakuchenga
Una haga kubwa twende kwa chamber
Twende kwa chamber nitakula tu kisemba
Semba kusemba nitakula tu vikeba
Kanapenda tu vitu zimetengwa
Ai ai nimependa

Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Gidhidhi gidhidhi bila notithi

Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Gidhidhi gidhidhi bila notithi

Mi siwezi pinga pinga hizo maroumour
Na hapa kwa toja nina kimchuma
Odi gain train, kimchina
Save for save na hata sikujui jina

Amuonia kugrind na mi hupenda kumimina
Goshodo wa mathighs na ndirenda kuhihinya
Nikisema whine, mi namaanisha itina
Wanauliza why nilibatizwa Ibiza

Gidhidhi kuthithimuka-ka
Kamithi gatataruka-ka
Kachingiri nigaguitika-ka
Kagiri ciaga mugoka-ka

Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Gidhidhi gidhidhi bila notithi

Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Hutia mundu askie dhidhi (Don't leave me)
Gidhidhi gidhidhi bila notithi (Don't leave me)

Don't leave me
Don't leave me
Don't leave me

Watch Video

About Dhidhi

Album : I Gatchu (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 21 , 2021

More BOONDOCKS GANG Lyrics

BOONDOCKS GANG
BOONDOCKS GANG
BOONDOCKS GANG
BOONDOCKS GANG

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl