Yes Bana Freestyle Lyrics
Yes Bana Freestyle Lyrics by MAANDY
Still number one femcee(Yes bana)
Hakuna kushindana nami(Yes bana)
We unabishana nanii
Nimetambulika toka Dago hadi South C(Yes bana)
Juu chini all black clean(Yes bana)
Huwezi nipata nalean(Yes bana)
Mi sio average mean(Yes bana)
Nikistep jua nachafua hiyo scene(Yes bana)
Eeey Simsima mi ni beatkiller
Mi hukwishakubali kwenye guu si ni Fila
Jeshi yangu kung'ara ni mila
Ka designer anafika kwa dealer
Eey usinicall kama si ganji
Rap god hao wengine ni nani
Vile nakaa hii si drip ni wave tsunami
Chunga usijitege kushindana nami
Squad yangu si ya mababi ni ya magoons fulani
Si huchafua scene haijalishi ni wapi, saa ngapi
Juu ya Liquor na ngwai, maforeign ka ni nyaru sitaki
Anacheki body anadai namaliza
Anauliza nipitie hivyo masaa tisa toa mbili
Sesh kageuka kuwa miss
Hawa stingo za bediko kijana ashaivisha
1, tukishachoma alafu 2 cheze kidogo kwenye sakafu
3 ukitaka pia bafu, pendua pendua ka samaki kwa wavu
Si ndo hupiga lejo bila soda
Tulipiga hustle tukaomoka
Si hufanya chali zao wanawatoka
Na hao si mahater ni kusota wamesota
Usiwahi cheza na hii mboka
Bad gal mi si bidii ya kurombosa
Hutai nipata nimesota
Boss nitazidi kutafuta nikikosa
Relax boss acha kuforce
Ngoma ka hii itawakeep on toes
Kabaya 3 times 1 pewa dose
Nikispit nilipeni mmh haa kuna ghost
Hey mi ni bag nachase ey
Mi kwa track si ni case ey
Show ni gani haina check
Ka hubongi doh please usinitrace
Mr usinikosee heshima
Shenzi time yenu ndo sina
Watiaji wanakaza kamba
Ngoma ikiwa kali ndio wananyamaza
Lakini nieke picha Insta
Kiasi nimeonyesha haga
Apo sasa utaona mafala kwa comments
Wakitegana Maandy niaje hiyo mbana?
Nimekutambua si tupatane
Nikushow loving hata mimba
Saa hizo ameparara hana hata nyumba
Aaiii...
Watch Video
About Yes Bana Freestyle
More MAANDY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl