Forbidden Fruit Lyrics
Forbidden Fruit Lyrics by MAANDY
I swear sikupanga ikue hivi
Situation nga tu sticky
Lakini nidu nini we ungedu nini?
I swear sikupanga ikue hivi
Situation nga tu sticky
Lakini nidu nini we ungedu nini?
Wahenga walidai forbidden fruit ndo the sweetest
Mi nimepata weakness ukweli niko na secret
Before unijudge we skia hii story
Mi ninaconfess na ujue riba ni ngori
Niko na boy yaani mfly
Ako na ganji na walai best piping no lie
German baridi ndo ndae
Mali anakagua ka ukwaju kwa karae
Shida ni moja na ndio kubwa my guy
Ni chali ya bestie wangu Shiko
Tumejuana since campo
Na toka then tumegrow
Roho safi nikilemewa I know where to go
Kukesha usiku tukisomea teo
Na siwezi elewa vile ilianza
Siezi explain situation nilijiingiza
Siezi kuambia ni wapi niliteleza
Feels so good when we are together
Ah si unaelewa
I swear sikupanga ikue hivi
Situation nga tu sticky
Lakini nidu nini we ungedu nini?
I swear sikupanga ikue hivi
Situation nga tu sticky
Lakini nidu nini we ungedu nini?
Huyu boyz vile ye huihandle
Hit the right spot you know dat got an angle
Na Friday ndio si huget time ample
Akipull up tunatuliz tu kwa castle
Then I get a call from my girl nikashikwa tu na stress
Si hubonga on a daily so I guess ananihola tu teketeke
Mi nikaaccept okay kwanza nilitake a very deep breath
"Niaje baby girl" Sema beb
"Aki umenyamaza" Hapana kuna job imenikaza niambie
"Mi niko na stress" Gani tena
"Si ni Deno naona anacheat
Sina mareceipt lakini mawikendi ako off
Kwanza Friday analost alafu sitampata mpaka Sato"
Maybe anataka tu space usi-overthink you have a good thing
"Sawa basi ata niko area yako am coming over
Sidhani I wanna be alone, let a lone sober"
Ati unakam?
"Yap coming up the stairs, nataka tu kurant
Can't take it any longer "
I swear sikupanga ikue hivi
Situation nga tu sticky
Lakini nidu nini we ungedu nini?
I swear sikupanga ikue hivi
Situation nga tu sticky
Lakini nidu nini we ungedu nini?
Watch Video
About Forbidden Fruit
More MAANDY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl