Sicheki Lyrics
Sicheki Lyrics by MAANDY
Me sicheki
Roundi hii waambie me sicheki
Dago, Seti, Zoza hadi ndani Westy
Guccci, Fendi, manicure me hufanya Imenti
Ka ni mechi, We play rough hakuna friendly
Me sicheki
Roundi hii waambie me sicheki
Dago, Seti, Zoza hadi ndani Westy
Guccci, Fendi, manicure me hufanya Imenti
Ka ni mechi, We play rough hakuna friendly
Mi sicheki
Ambia promoter nadai macenti
Busy lately
Mboka iko fiti siteti
Kabaya mdeadly
Kwa drill waambie mi ni jetlee
Ama Tyson
Nadai django ana Sauti ya Bryson
Pull up kwa crib na mashoray kama thao
Daily DM ni manniga wamembao
Ati wanadai kunidate wafao
Mi ni hitmaker niite defao
Weh ni hater weh ni opp
Hii si mbogi, hii ni mob
Ka ni WAP, leta mop
Kabaya gang top adi top
Mokoro anadai hii raha imezidi
De moreu ta Jayden wawili
Homie anadai atanmpea mkidi
Namshow Sidai hadi niguze mamili
Me sicheki
Roundi hii waambie me sicheki
Dago, Seti, Zoza hadi ndani Westy
Guccci, Fendi, manicure me hufanya Imenti
Ka ni mechi, We play rough hakuna friendly
Me sicheki
Roundi hii waambie me sicheki
Dago, Seti, Zoza hadi ndani Westy
Guccci, Fendi, manicure me hufanya Imenti
Ka ni mechi, We play rough hakuna friendly
Nimeeka mali quarantine
Nipata umo nikichafua scene
Nisha buy ndege, plug alizi clean
Custom made na flame ka grill
Tulishow dame akuje correct
Kwa mtandao kubonga matope
Mwikali alimkuta kikonje
Nikiwa mless nilikua pro stopeh
Usituite fom, ah, caretaker unajua mtiaji
Nimekalia mtungi, lakini sijali Bora nko maji
Wake up, breako ni chrome na konyagi
East african gal so lunch narep waragi
Dont call me, ah mteja hapatikani
We nani, ah sipendi ufala flani
Nini funny, ah, kimbo maftani
Niko kimathi, drip niki pima uzani
Me sicheki
Roundi hii waambie me sicheki
Dago, Seti, Zoza hadi ndani Westy
Guccci, Fendi, manicure me hufanya Imenti
Ka ni mechi, We play rough hakuna friendly
Me sicheki
Roundi hii waambie me sicheki
Dago, Seti, Zoza hadi ndani Westy
Guccci, Fendi, manicure me hufanya Imenti
Ka ni mechi, We play rough hakuna friendly
Watch Video
About Sicheki
More MAANDY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl