Tujenge Lyrics
Tujenge Lyrics by BROWN MAUZO
Naona kama una kitu moyoni
Nahisi kwamba we hujaniamini
Nishalia unizalie, daily tomorrow wewe
Hata wazazi wanishuku nina kasoro
Nishalia unizalie, daily tomorrow wewe
Hata wazazi wanishuku nina kasoro
Kila ukipata mimba, unatoa wewe
Mie napokuuliza, unang'oa nanga
Kila ukipata mimba, unatoa wewe
Mie napokuuliza, unang'oa nanga
Nataka tujenge nyumba (Tujenge tujenge)
Nataka tujenge boma eeh (Na wewe, na wewe)
Nataka tujenge nyumba (Tujenge tujenge)
Nataka tujenge boma eeh (Na wewe, na wewe)
(Ihaji made It)
Naomba usione nakataa
Maisha ngumu hata kula ni balaa
Chumba cha kupanga, kodi ya kuchanga
Naomba ngoja ngoja, hadi mambo yawe sawa
Kama kuzaa nitazaa na wewe
Hata mapacha nitazaa na wewe
Sio lazima mapacha
Hata mmoja sawa
Usijali kuhusu mapenzi
Maana Mola ndo mgawa
Oooh si uliniambia
Milele utaishi na mimi
Uliniambia
Kulea utalea na mimi
Ungenieleza wazi kinagaubaga
Kuliko kunizuga kunichanganya
Ungenieleza wazi kabla sijalala
Ungenieleza wazi kinagaubaga
Kuliko kunizuga kunichanganya
Ungenieleza wazi kabla sijalala
Kila ukipata mimba, unatoa wewe
Mie napokuuliza, unang'oa nanga
Kila ukipata mimba, unatoa wewe
Mie napokuuliza, unang'oa nanga
Nataka tujenge nyumba (Tujenge tujenge)
Nataka tujenge boma eeh (Na wewe, na wewe)
Nataka tujenge nyumba (Tujenge tujenge)
Nataka tujenge boma eeh (Na wewe, na wewe)
Ngoja bado, sijakataa
Sijakataa, sijakataa
Oooh, yeah, oooh
Watch Video
About Tujenge
More BROWN MAUZO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl