Kuzikanato Lyrics
Kuzikanato Lyrics by ZZERO SUFURI
Govi..govi..govi..govi
Mbogi ni genje
(K Wise)
Yeah yeah Sheng master
Smady Ting, Zzero
Ngumi ni mbwegze
Hatunauwo, hatunauwo
Debe kwa tenje na vile inachuna (Rada ni safi)
Niko kwa bukla machupa nakunywa (Vile inafaa)
Cheki wasupa ni ka wametumwa (Rada ni safi)
Ati wanataka wote ni chuma (Riang ni fisa)
Kuzikanato tukinganaso kuzi
Kuzikanato tukinganaso
Kuzikanato tukinganaso kuzi
Kuzikanato tukinganaso
Acha tublaze eh-eh
Acha tublaze eh-eh
Acha tublaze si bado si tuko baze
Acha tublaze eh-eh
Acha tublaze eh-eh
Acha tublaze si bado si tuko baze
Cheki walikuwa wanadhani nimejificha
Guess who is back ka addi Ticha
Kiswahili si ndo language kuwafundisha
Kamusi za matusi hizo ndo mi hurekebisha
Mi huwa narebel nimedunga label label
Nikipewa mic mi hukuwa forever able
Ju vitu zenye mi hufanyaga ziko juu
Wakaanza kuniita adi ju imekuwa --
Mi sifloss mi ndo worldboss
Nimekam kuboss hawa matoast
Ndani ya kichalice na kibomb nakipass mos mos
Worldboss nakiskizia hadi kwa tosha
Debe kwa tenje na vile inachuna (Rada ni safi)
Niko kwa bukla machupa nakunywa (Vile inafaa)
Cheki wasupa ni ka wametumwa (Rada ni safi)
Ati wanataka wote ni chuma (Riang ni fisa)
Kuzikanato tukinganaso kuzi
Kuzikanato tukinganaso
Kuzikanato tukinganaso kuzi
Kuzikanato tukinganaso
[Smady tings]
Hawa mariambez wote wamevai rasu
Labda kiki siwezi linki na marachu
Ka ni kete zitangwata nikingasu
Nikitinda seti kolo nilingafu
Niko na mbogilise zimejavu
Tunategea madimanga zijaku
Mbwegze ndio ngumi nimenjaku
Ukileta ufala copper utalaku
Tumechafua mbanachu za mganzi
Disma siwezi linki na mandwanzi
Nimechana vudesign za Gadaffi
Ngumi njanamo wakaliiange ngafi
Debe kwa tenje na vile inachuna (Rada ni safi)
Niko kwa bukla machupa nakunywa (Vile inafaa)
Cheki wasupa ni ka wametumwa (Rada ni safi)
Ati wanataka wote ni chuma (Riang ni fisa)
Kuzikanato tukinganaso kuzi
Kuzikanato tukinganaso
Kuzikanato tukinganaso kuzi
Kuzikanato tukinganaso
[Militan]
Wananauwo ngovi ngovi mana nini
Umojing hadi Dago na Sufuri
Daila wanariu ni maroko
Mbogilise ya mbotolo ni ya sing
Scopi lien zote ka rinma
Yuste riaka tumendasta
Obabolise tapatapa na ma renje
TBN siwezi kuwa na mjamo
Akuku bado mi ndio mdanger
Daila kuwangiche ka dikla
Kochu ayela double genje
Vanjii wanakiba na matiach
Debe kwa tenje na vile inachuna (Rada ni safi)
Niko kwa bukla machupa nakunywa (Vile inafaa)
Cheki wasupa ni ka wametumwa (Rada ni safi)
Ati wanataka wote ni chuma (Riang ni fisa)
Kuzikanato tukinganaso kuzi
Kuzikanato tukinganaso
Kuzikanato tukinganaso kuzi
Kuzikanato tukinganaso
Watch Video
About Kuzikanato
More ZZERO SUFURI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl