WAKADINALI Pima Poa cover image

Pima Poa Lyrics

Pima Poa Lyrics by WAKADINALI


Yoh warup warup Paris
66 man Wakadinali again au sio
Mafans bado mpo? Tupo
Hatukaji nini.. kumamaye au sio
Uh uuuh!

Pima poa hii chingri naineed jo kuimochoa
Pima poa hadi kimonyoski jo ya kutoa
Pima poa ukiuza mboiyoi Buru Messora
We pima poa hio price ieke chini 
Bro ameng'ora

Pima poa hii chingri naineed jo kumochoa
Pima poa hadi kimonyoski jo ya kutoa
We pima poa ati ukiuza mboiyoi Buru Messora
We pima poa hio price ieke chini 
Bro ameng'ora

Tuma kakitu hadi ya kutoa acha izo
Msee ashai niondolea eh G.O.A.T kutoa hizo matatizo
Johnsaga na mogoka, bob saba ndani ya boxer
My mum si ni Wabosha, mi na Maxine kwa taxin naororia

Tripo ni ya Umoja but nawamake-ia nuclear program
Nyi ni waoga na Munga ndo mganga anawashinda kuroga
Maji ya kuoga siku hizi nawauzia thao moja
Mi ni topsweeter Munga mi ni volatile

Reduce a loan kaa na wamama we ni pedophile
Lighter jo ni Kifaru chaji akisha roach inferno
Kisha Doch ni ballot leo duvai ni ngano
Chingri leo ni mano, we ni diva, we ni bro wa Chimano
Hio leave alone hio ni mfano
Pia kuna bidhaa zenye ni mchina zitii
Zote huwanga round but usicompare-e Big G na minji
Usiwai compare Dj Shiti na Meechie

Pima poa hii chingri naineed jo kuimochoa
Pima poa hadi kimonyoski jo ya kutoa
Pima poa ukiuza mboiyoi Buru Messora
We pima poa hio price ieke chini 
Bro ameng'ora

Pima poa hii chingri naineed jo kumochoa
Pima poa hadi kimonyoski jo ya kutoa
We pima poa ati ukiuza mboiyoi Buru Messora
We pima poa hio price ieke chini 
Bro ameng'ora

[Sewersydaa]
After scene questioning tulipelekwa Prisint
Ata beast anajua happenings ni huko mall ya chini
Work hio mwili ndo milli' mi natumia akili
Watu wa Eastwing lazma deng'a really?

Huku down watu wamejam hadi wamekuwa trigger happy
Guza madam vizuri kwa club ujipate hauna ganji
Shimo flani ndo inafanya gangster hulali
Buda amejam mabuti mama amegeuzwa vile kimwaragi

Ana red ID Wanjigi anaeza empty magazine
Sailor nitasafiri nimeacha mbegu enough kwa hii city
Venye mdem hutoa itatake miracle kupata mkidi
Fika poa naskia we hukuwa high tu na flight ya Swedish

Si ndo maboyz wahot ingizwa baridi ni ka uko kwa pick up
Sky tulipita ona si ni ma stars kwa giza
Tunapenda jako kubwa zile zinaweza tuficha
Supu surwa after mbichwa manze jo zilishika

Pima poa hii chingri naineed jo kuimochoa
Pima poa hadi kimonyoski jo ya kutoa
Pima poa ukiuza mboiyoi Buru Messora
We pima poa hio price ieke chini 
Bro ameng'ora

Pima poa hii chingri naineed jo kumochoa
Pima poa hadi kimonyoski jo ya kutoa
We pima poa ati ukiuza mboiyoi Buru Messora
We pima poa hio price ieke chini 
Bro ameng'ora

Watch Video

About Pima Poa

Album : Victims of Madness (Album)
Release Year : 2020
Copyright : (c) Rong Rende/ Zoza Nation
Added By : Huntyr Kelx
Published : Nov 30 , 2020

More lyrics from Victims of Madness album

More WAKADINALI Lyrics

WAKADINALI
WAKADINALI
WAKADINALI
WAKADINALI

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl