Covid 19 Lyrics by BOONDOCKS GANG


Lalala lalalala
Adie adie adie adie...
Adie adie adie adie...
Ah taniua

(Magix Enga on the Beat)

Thanks God I'm here wait a minute
2 weeks ago was just like a movie
Staro alimouk toka China na virusi
Jetlie Jackie Chan, vako za upuzi

Kazi kwa vijana hio ni proverb
Jobless corner hio ndo ni slogan
I'm a free man Corona achia Morgan
Reggea iko Thursday kiza kina more gun

Heritage for real, meditate na mi
I can't relate with you issa scum for real
Siwezi ngoja labda hii virusi iko
Sanitize na ati sina unga na mwiko
Ukisneeze morio apa mi nitatoka kijiko
Na ka ni chave buda acha vitisho

Leave Caesar what belong to Caesar (Amen)
Kenya wako prayer day na Pastor Ng'ang'a (Amen)
R.I.P (Amen) Gengetone (Amen)
7 confirmed million wamebaki (Amen)
7 billion shillings still not confirmed

Fuck what they taught you
Kenye we unajua ni Corona ina kill
Google search hizo symptoms upate uko ill
And Gengetone woun't last I swear itabeat
Wtf mi sijui hiyo I swear na appeal

Alhamdulillahi Alhamdulillahi
Your honor boy wangu ana kesi ya shingo juu ya Corona
Na alikuwa mgonjwa sa sijui ka atapona
Na huko Githu wera ilikuwa kuwapona
Ponya haezi shika gwaash kwa ile kona
Innocent murdered ju alikuwa stoner

Tax silipi this month walai mi nitachoma
Education is the key buda sijawai soma
Ka ni mzalendo buda mi ni informer
And even if they kill me buda watakoma
Izo pyenga zote buda mi nitachoma
Nitachoma nitachoma ka nimegoma
We unanijua sai why can't I fill coma

Nitaburn hizo ndom hadi brain ikuwe mentally
Human rights wtf treat us all equally
Wasee wengi naskia wamenyuria huko Italy
Labda pia virusi ilimouk session Utalii

Tourising the fuck, shtuka mi na curse
Ju ni ukweli amewrong na atapass
Staki mi unijazz na Gengetone madam
Sare izo mask mi nitadungia ya spiderman

Super man Sonko alisema zishike man
Handshake aki walai leo hutanishika man
Boondocks underated leo utaniskiza man
Gully or Gaza leo mi ni pita man
Christian or Muslim I believe in Jesus
Ata heri ningekua hero kama E-sir
Than kupotea huko area kam scissors

[Odi wa Murang'a]
Cheki cheki before nianze verse manze
Be safe, stay indoors manze
This is from me to you and only you
(Thank you, thank you)

Ma issue ni kibao zenye naweza address sai
Kwa liquor ni Kibao ndio tu naeza fall saa hii
Per litre anauza thao na deni hakuna sai
Mamita zimeogelea na kazi hakuna sai

University student's kwani kwani rada gani?
Nafanya medicine nafaa nitumie dawa gani?
Usiseme ati hujui research umefikisha wapi?
Ama uko quarantined hufiki lab uko gechagi?

Hello, beb nakam na groceries
Soko ya mama Kim na Njeri kuna boundaries
Sikai kwa kibanda sa na kuna curfew please
Si ati kuna dingo ni Covid 19

First lemme re-introduce myself
My name is O, back to the topic
Corona be the case ako na severe headache
Na leo ni 4th Day, 10 more aende zake
Alipata hizo virusi kwa chain angewasha yake

When you low, when you high
Sanitize sio lie 
You've seen it with your eyes
People dying why lie

When you low, when you high
Sanitize sio lie 
You've seen it with your eyes
People dying why lie

Watch Video

About Covid 19

Album : Covid 19 (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Black Market Records.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 11 , 2020

More BOONDOCKS GANG Lyrics

BOONDOCKS GANG
BOONDOCKS GANG
BOONDOCKS GANG
BOONDOCKS GANG

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl