Dayana Lyrics
Dayana Lyrics by MADINI CLASSIC
Dayana, dayana, dayana
(It's Jessie on the beat)
Handsome!
Mtoto rangi ya benki
Ona sura si kudadeki
And I know baby you make me feel like this
Kila time unanigidigidi roho imake feels
Sio kwamba sijaona wazuri zaidi yako yeah
Sio kwamba sijawakata ni mahali unanitekenyaga
So baby give me handshake
We ni kama melody am dancing
So baby give me chance yeah
We ni kama melody am dancing
So baby pull up
Leo mi ndo papichulo, papichulo
Shika beer mi nachulo, mi nachulo
Funga leso, twende kulo, twende kulo yeah
So baby pull up
Leo mi ndo papichulo, papichulo
Shika beer mi nachulo, mi nachulo
Funga leso, twende kulo, twende kulo yeah
You're my dayana dayana (Haiya)
Leo ni usiku wa banana (Haiya)
Na nimejipin tutanyanya (Haiya)
Tucheze nawe soccer cabana (Haiya)
Oh my dayana dayana (Haiya)
Leo ni usiku wa banana (Haiya)
Na nimejipin tutanyanya (Haiya)
Tucheze nawe soccer cabana (Haiya)
Shawty with a beauty face
Shawty yufanyaga mi na misplace
This kinda love baby these days
Thick thighs siku hizi mi humuitaga bae
Hey coz you the typa typa kila boy analike
So promise nitakuwa everytime that you made
Need me best believe nitakupenda ka injili
Look safi niko classy kama daily
So baby pull up
Leo mi ndo papichulo, papichulo
Shika beer mi nachulo, mi nachulo
Funga leso, twende kulo, twende kulo yeah
So baby pull up
Leo mi ndo papichulo, papichulo
Shika beer mi nachulo, mi nachulo
Funga leso, twende kulo, twende kulo yeah
You're my dayana dayana (Haiya)
Leo ni usiku wa banana (Haiya)
Na nimejipin tutanyanya (Haiya)
Tucheze nawe soccer cabana (Haiya)
Oh my dayana dayana (Haiya)
Leo ni usiku wa banana (Haiya)
Na nimejipin tutanyanya (Haiya)
Tucheze nawe soccer cabana (Haiya)
Sasa Dayana katika katika
Ukipenda vunja rungu ya masai
Wape ki Shakilla Shakilla
Ukipenda vunja rungu ya masai
Sasa Dayana katika katika
Ukipenda vunja rungu ya masai
Wape ki Shakilla Shakilla
Ukipenda vunja rungu ya masai
(Dayana, dayana..)
Watch Video
About Dayana
More MADINI CLASSIC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl