Toto la Kanairo Lyrics
Toto la Kanairo Lyrics by MADINI CLASSIC
Mmmh Madini classi yeah
(Handsome)
Alexis on the beat
Kama namwona yeah
Kanajificha jificha maana kamebeba zigo
Cha ajabu hakana mambo we
Katoto kadogo ila mchezo ameusoma yeah
Toto la Kanairo, kiuno chake biro
Kananifanya psycho
Ooh yeah kanajificha ficha
Maana kamebeba zigo
Toto la Kanairo, kiuno chake biro
Kananifanya psycho
Ooh yeah kanapenda kapicha
Kama mwana wa mitindo
Haya basi jionyeshe, we mama
Na kama unajiamini mzuka ndio uzidondoshe, we mama
Haya basi jionyeshe, we mama
Na kama unajiamini mzuka ndio uzidondoshe, we mama
Toto la Kanairo, Nairo Nairo, toto la Kanairo
Toto la Kanairo, Nairo Nairo, toto la Kanairo
Toto la Kanairo, Nairo Nairo, toto la Kanairo
Toto la Kanairo, Nairo Nairo, toto la Kanairo
Nairo, Nairo, Nairobi
Kako na bonge la zigo, sura ya kidigo
Mtoto akicheza na fimbo nampa kipigo
Kananipendeza kalivyo hakana maringo
Sukari inazidi kipimo naumwa na figo
Mpishi na mwiko nasonga sima size ya soja
Maji kwa jiko imenilazimu nisake mboga
Madikodiko utamu wa rojo ni kuonja
Niko na kijiko nala pojo bila woga
Kiuno kibiringisha mahali unanifikisha
Vile una fijo na -- shinda mafashionista
Madem wa Insta madiva wakiwa wamesikitika
Ueke mafilter kwa picha unakaripidirisha
Bado we unang'aa zaidi yao
Toto la Kanairo Mashallah mama lao
Wafure wapasuke shauri yao
Wakumbushe mahali pao
Danga danga ukawaonyeshe mkali wao
Toto la Kanairo, kiuno chake biro
Kananifanya psycho
Ooh yeah kanajificha ficha
Maana kamebeba zigo
Toto la Kanairo, kiuno chake biro
Kananifanya psycho
Ooh yeah kanapenda kapicha
Kama mwana wa mitindo
Toto la Kanairo, Nairo Nairo, toto la Kanairo
Toto la Kanairo, Nairo Nairo, toto la Kanairo
Toto la Kanairo, Nairo Nairo, toto la Kanairo
Toto la Kanairo, Nairo Nairo, toto la Kanairo
Watch Video
About Toto la Kanairo
More MADINI CLASSIC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl