Nitalewa Lyrics
Nitalewa Lyrics by MADINI CLASSIC
Nachojua mapenzi sio rangi ya kinyonga
Haibadiliki
Mapenzi majira saa ya ukutani
Ukishaelewa ndo basi
Na wakati mwingine usishangae
Mbona haikwendagi sawa sawa
Unayempenda anapenda asiyempenda sawa
Hata duniani hakuna aliyekamilika
So moyo wangu tulia eeh
Usione unaonewa
So moyo wangu tulia eeh
Niliyempenda nikampa vyote
Nikamdhamini tena nikamwacha akaenda
Ama ni nyota ya kupenda sina
Basi wacha nilewe, mi nitalewa
Nitalewa nitazima, mi nitalewa
Kama mapenzi yamenilemea
Haya haya haya, haya haya
Mola nipe ujasiri angalau nipate wa kunistiri
Am so broken ila hadharani nitajifosi kucheka
Nisionekane mnyonge
Mwili unapanda joto hakuna wa kunikoza
Nabaki nalia kama mtoto machozi hakuna wa kunifuta
Na usidharau chumvi asubuhi
Na nahitaji lako kwa chai sukari
Ndivyo alivyonichukulia mwisho wa siku akanitema tema
Kama tango tango, sikumnyima nilimpa tango
For real love is so wicked, wicked love so wicked
Niliyempenda nikampa vyote
Nikamdhamini tena nikamwacha akaenda
Ama ni nyota ya kupenda sina
Basi wacha nilewe, mi nitalewa
Nitalewa nitazima yeah, mi nitalewa
Kama mapenzi yamenilemea, mi nitalewa
Nitalewa nitazima yeah, mi nitalewa
Kama mapenzi yamenilemea, mi nitalewa
Nitalewa nitazima aaaah
Kama mapenzi yamenilemea, mi nitalewa
Nitalewa nitazima mimi mimi
Kama mapenzi yamenilemea..
Nitalewa, nitalewa
Nitalewa, nitalewa
Watch Video
About Nitalewa
More MADINI CLASSIC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl