Forever Lyrics
Forever Lyrics by MADINI CLASSIC
Hivi ulijiumba mwenyewe
Maana uzuri wako sio kawaida my love
I just wanna know
Macho kama unaniita ita
Hata kwa nguo chuchu saa sita
Hata kipofu hawezi kukupita
Mpaka nashangaa
Macho kama unaniita ita
Hata kwa nguo chuchu saa sita
Hata kipofu hawezi kukupita
Mpaka nashangaa
Ndio maana kwako niko radhi
Nichune kama mtoto nilie
Kwako niko radhi
Nitume kwa ndoto nikimbie
(Nichune ka mtoto nilie
Nitume kwa ndoto nikimbie )
Niruhusu ukizeeka bado nikuite bebe
Michezo ya mapenzi ukichoka nikubebe
Baby ladiva ukipita saliva
Eee! yani njoo njo njo njo
Me and You
Mpaka forever forever together baby toritoritototo
Me and you
Uliumbiwa mimi na mimi for you baby toritoritototo
Me and you
Me and You
Mpaka forever forever together baby toritoritototo
Me and you
Uliumbiwa mimi na mimi for you baby toritoritototo
Me and you
Chica Bonita asayi tera mos
Chica Bonita you pretty like arose
Alamba honey
Chica Bonita asayi tera mos
Chica Bonita you pretty like arose
Alamba honey
Honey alamba njugu karanga na kwa ufundi uno
Ona naimba kilugha habibi yaarabi habibi
Ohh baby nipeleke place I never been there
Utamu ukinoga nikwamishe in there
Yaarabi Sunna
Halua Habibi Ehe
Chocolate color
Embe dodo limeshakolezwa na masala
Leo mganga ameshakwisha somewa sala Yaarabi
Ndio maana kwako niko radhi
nichune kama mtoto nilie
Kwako niko radhi nitume kwa ndoto nikimbie
(Nichune ka mtoto nilie
Nitume kwa ndoto nikimbie )
Niruhusu ukizeeka bado nikuite bebe
Michezo ya mapenzi ukichoka nikubebe
Baby ladiva ukipita saliva
Eee! yani njoo njo njo njo
Me and You
Mpaka forever forever together baby toritoritototo
Me and you
Uliumbiwa mimi na mimi for you baby toritoritototo
Me and you
Me and You
Mpaka forever forever together baby toritoritototo
Me and you
Uliumbiwa mimi na mimi for you baby toritoritototo
Me and you
Chica Bonita asayi tera mos
Chica Bonita you pretty like arose
Alamba honey
Chica Bonita asayi tera mos
Chica Bonita you pretty like arose
Alamba honey
Watch Video
About Forever
More MADINI CLASSIC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl