Wanabore Lyrics
Wanabore Lyrics by JUSTO
Wanabore wanabore
Wanablink blink minyoo
Wanabounce kama jogoo
Macho kubwa kama bano
Wanabore wanabore
Wanablink blink minyoo
Wanabounce kama jogoo
Macho kubwa kama bano
Kaa rada kuna watu hawajali
Hakuna wadha form zao watiaji
Stori mob akipass iwa gwai
Buda to the left na si tafadhali
Rusha kijicho tushavembaga
Toka kijiko wakidai kijaba
Chunga masnitch dog na hizo manyoka
Fimbo kwa vichwa bratha utaomoka
Tero utapiga hatutambui mipaka man
Manzi anapenda nikimlamba kwa paka
Nimeboeka yeah, wamezeeka yeah
Madharau tu wamebeba yeah
Masikio fifi kama jege
Wakibore umeenda na ndege
Yeah ndio hao wanabore
Yeah ndio hao wanabore
Wanabore wanabore
Wanablink blink minyoo
Wanabounce kama jogoo
Macho kubwa kama bano
Wanabore wanabore
Wanablink blink minyoo
Wanabounce kama jogoo
Macho kubwa kama bano
Buda boss alikandwa kama ngano
Kwa mazishi ndio hio ragano
Buda una dem mmoja niko na tano
Ukikam kuchill weka weka pra kando
Sikia sikia hapa kwa da beat
Sikia sikia beiby pigwa miti
Sikia sikia nione hizo titi
Sikia sikia beiby itabidi
Oops am sorry for the mess
Kama unadoubt buda wacha kunitest
Leka leka, leka leka laka less
Teka teka, teka teka teka Tess
Yeah na kama unabore
Yeah hatujuani anymore
Ndio hao wanabore
Yeah ndio hao wanabore
Wanabore wanabore
Wanablink blink minyoo
Wanabounce kama jogoo
Macho kubwa kama bano
Wanabore wanabore
Wanablink blink minyoo
Wanabounce kama jogoo
Macho kubwa kama bano
Shika paka power kama kawa kama dawa
Beiby gal inama miti ni dawa
Itadi uchuchume ka unaumwa na chawa
Utamu wa nyama kwa nyama niitwe
Nyama mimi ndio wire
Kiki za mapara zitacatch a fire
Ukileta ung'ong'o unakula ngoto
Ukichoma mboto jitie kwa shothol
Matoto is to local zimejaa soko
Zikishika mongo leta comotion
Lamba kilolo samba kitoko
Rada mipili ya mchele ni poko
Mmmh mistari on poit kama biro
Hakuna kulala kwa hii daro
Kuswim ni duff mpararo
Twapenda zile dry si mtaro
Wanabore wanabore
Wanablink blink minyoo
Wanabounce kama jogoo
Macho kubwa kama bano
Wanabore wanabore
Wanablink blink minyoo
Wanabounce kama jogoo
Macho kubwa kama bano
Wanabore wanabore
Wanablink blink minyoo
Wanabounce kama jogoo
Macho kubwa kama bano
Wanabore wanabore
Wanablink blink minyoo
Wanabounce kama jogoo
Macho kubwa kama bano
Watch Video
About Wanabore
More JUSTO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl