Mboko Haram Lyrics
Mboko Haram Lyrics by BOONDOCKS GANG
Nipeleke na rieng eeh nipeleke na rieng
Aaah tucheze chini leo
Cheki, wacha leo tusikize mboko mboko mbolo
Cheki DJ, oya cheza ka wewe
Eeeh Nyamba ninuse si tuingie dancefloor
Eeey...Odi wa Murang'a
Genge la Boondoksi
(Saddafah)
Odi wa Muranga nimekam na mandom
Hizi tire ninaseti zimetoka Ngong
Chini ya waba mi huwezi nipata mi ni ka Saddam
Kama Boko mnarealize si ni haram
Aah pigwa mboko, pigwa mboko
Pigwa mboko hii mchezo ni haram
Aah pigwa mboko, pigwa mboko
Pigwa mboko nina rungu na ni tam aah
Mmmh aah mboko haram
Mmmh aah mboko haram
Mmmh aah mboko haram
Hizi tire tunaseti zinakaa haram
Mmmh aah mboko haram
Mmmh aah mboko haram
Mmmh aah mboko haram
Hizi tire tunaseti zinakaa haram
Aah pigwa mboko kushothol local nyoto
Ako shopo lotion mapunyeto
Ita poko mashada ka ni mental
Unang'oa maddam ni ka ni dental
Najiaminia nina nguvu bila njugu
Unastuka na utathoshwa na kirungu
Ngeus slayqueen amechezea madudu
Na ako dudu na nyuma ana tundu
Toka grrn nina jaba nikuchum
Nikusetie kichom nikuroll-ie kindom
Nikuchambue kiform, nikumangie kishow
Nikudarue before, nikuzamue dufo
Aah pigwa mboko, pigwa mboko
Pigwa mboko hii mchezo ni haram
Aah pigwa mboko, pigwa mboko
Pigwa mboko nina rungu na ni tam aah
Mmmh aah mboko haram
Mmmh aah mboko haram
Mmmh aah mboko haram
Hizi tire tunaseti zinakaa haram
Mmmh aah mboko haram
Mmmh aah mboko haram
Mmmh aah mboko haram
Hizi tire tunaseti zinakaa haram
Piga koto, uwachome na kingoto
Shika toto amejazwa na kijoto
Vile ni ngumu hadi kuliko kokoto
Ako kejani nimkule tu kimboto
Haram ni moto zikishika teka ngoko
Gizani ni kungori kumejaa mapoko
Itabidi ndio nijenge hii kikoko
Ndio nipande nijengwe ki-round 4
Nina murambe na muratish kwa kikombe
Ndio nisanif zile nono na si konde
Kama fourty, itisha zote
Akirombosa, ongeza token
Aah pigwa mboko, pigwa mboko
Pigwa mboko hii mchezo ni haram
Aah pigwa mboko, pigwa mboko
Pigwa mboko nina rungu na ni tam aah
Mmmh aah mboko haram
Mmmh aah mboko haram
Mmmh aah mboko haram
Hizi tire tunaseti zinakaa haram
Mmmh aah mboko haram
Mmmh aah mboko haram
Mmmh aah mboko haram
Hizi tire tunaseti zinakaa haram
Odi wa Murang'a mi ni ka Warofoko
Niko VIP dem yako amewekwa makomboko
Watho waitika akijileta pita nako
Na nikishothora ongeza cocktail ya karofo
Niko na risto, za ukagito
Juu kina Bosco na mbogi yao
Walipoteza mavajo zao
Kwa hizo mika unajua si kwa madem wao
Nishai vuta mbichwa nikaspinchi wagethomo
Na mi si fala, najua nini hukaa kamoshono
Ka singekuwa rapper ningekuwa refa wa ngono
Unaendaje round moja, kunywa supu ya konokono
Aah pigwa mboko, pigwa mboko
Pigwa mboko hii mchezo ni haram
Aah pigwa mboko, pigwa mboko
Pigwa mboko nina rungu na ni tam aah
Mmmh aah mboko haram
Mmmh aah mboko haram
Mmmh aah mboko haram
Hizi tire tunaseti zinakaa haram
Mmmh aah mboko haram
Mmmh aah mboko haram
Mmmh aah mboko haram
Hizi tire tunaseti zinakaa haram
Oya oya oya oya oya oya
Eeeh mi unaeza niita Kartelo
Ama unaeza niita kwako
Eeeh leo niko na mbogi ya Boondoksi
Eeh tunakuja kuchachisha
Uliskia kwa hii game
Si ndo tunakuwaga ma headmaster
Nyi labda mkuwe depa
Eeeh Kabisa! Tumekuja kuroria, kuchachisa
Leo hatuchezi ki ongwes, leo tunacheza kisisi
Tuwapekele na rieng mbaya sana Kabisa!
Watch Video
About Mboko Haram
More BOONDOCKS GANG Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl