MADINI CLASSIC For You cover image

For You Lyrics

For You Lyrics by MADINI CLASSIC

For you, ooh love
For you mmmh for you
(Handsome)
For you, ooh love
For you, for you
For you, for you

Everything for you coz I wanna love you better
I'll be there for you, for you, for you
Everything for you coz I wanna love you better
I'll be there for you, for you, for you

Penzi lako ni sawa na hewa nayopumua
Kukuacha siwezi
Ndio maana ukinuna hata sekunde mama
Oooh kwangu kitanzi

Na zaidi ushakubali hali yangu
Nyota pekee kwenya kiza changu
So usije ukawe sukasuku 
Love me, love me 

Nimepata ubavu wangu na naamini tunafanana
Nimeokota kioo na kwa macho yako mi najiona 
Nimepata ubavu wangu na naamini tunafanana
Nimeokota kioo na kwa macho yako mi najiona 

Everything for you coz I wanna love you better
I'll be there for you, for you, for you
Everything for you coz I wanna love you better
I'll be there for you, for you, for you

We kifaa umezidi mahari
Inafaa nikugawie uhai
Kila saa unafanya nafurahi
We balaa mtoto huna dosari

Na ukiniguza ndo naskia 
Kama moyo wangu unakwenda mbio mmh
Na ukicheka ndo naskia moyo wangu unapiga
Kama mimba ya miezi tisa

Wakisema hatuendani, cheka tuwacheke hao
Wakisema hatupendani, cheka tuwacheke hao
Wakisema hatufanani, cheka tuwacheke hao
Cheka tuwacheke hao

Everything for you coz I wanna love you better
I'll be there for you, for you, for you
Everything for you coz I wanna love you better
I'll be there for you, for you, for you

Nimepata ubavu wangu na naamini tunafanana
Nimeokota kioo na kwa macho yako mi najiona 
Nimepata ubavu wangu na naamini tunafanana
Nimeokota kioo na kwa macho yako mi najiona 

Everything for you coz I wanna love you better
I'll be there for you, for you, for you
Everything for you coz I wanna love you better
I'll be there for you, for you, for you

About For You

Album : For You (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Feb 26 , 2021

More MADINI CLASSIC Lyrics

MADINI CLASSIC
MADINI CLASSIC
MADINI CLASSIC
MADINI CLASSIC

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2022, We Tell Africa Group Sarl