Yolo Lyrics
Yolo Lyrics by JULIE THIOSH
Ain't nothing better than this
Story of my life and you know this
Ain't nothing better than this
Story of my life and you know this
Ain't nothing better than this
Story of my life and you know this
Ain't nothing better than this
Story of my life yeah
Sikuchochi bro, sikuchochi bro
Utaishi mara moja tu
Sikuchochi bro, sikuchochi bro
Utaishi mara moja tu
Sikuchochi bro, sikuchochi bro
Utaishi mara moja tu
Sikuchochi bro, sikuchochi
Utaishi mara moja tu
So many li-li-lives
Zimekuwa lo-lo-lost
So nagive tha-tha-thanks
Ju niko ali-li-live
Mablodclat wanamadwa kila time
In the blindspot wakivuruga for dime
Ninafeel lost how can you live this time?
Am running so dry can I sip a little something?
Rocking in this thoughts will this niggas stop dying
Will this mothers stop crying? yeah
Daily on the bed working shed tears
Shattered dreams now they living in fear
Maboy wameingilia crime on the fifth gear
Watu wamejipin na hawataki sikia
Please please get rid of these ideas
Kumake it sio easy ni tu-work out here
Make a milli, not overnight takes time
So usiloose hope, step by step utaget there
You need to face your fears so you can see clear
Talent pia ni grind don't just sit there
Rise up pima goal utareach there
You hear? Yeah utareach there
Rise up pima goal utareach there
Ain't nothing better than this
Story of my life and you know this
Ain't nothing better than this
Story of my life and you know this
Ain't nothing better than this
Story of my life and you know this
Ain't nothing better than this
Story of my life yeah
Sikuchochi bro, sikuchochi bro
Utaishi mara moja tu
Sikuchochi bro, sikuchochi bro
Utaishi mara moja tu
Sikuchochi bro, sikuchochi bro
Utaishi mara moja tu
Sikuchochi bro, sikuchochi
Utaishi mara moja tu
Sita-dissapear kama watch kwa mkono za afiu
Sita-dissapear kama giza nita appear na mwangaza
Sita-dissapoint kama fala amedunga earphones na mat ni hewa juu
Sita-kudissapoint kama compass pointer
Sita-think about church nikiwa kwa club
Heri kuthink about church nkikiwa kwa club
Sita sita sita mi ni wa B3 bana
Hata mile sita nitawalk kama simba
Sitachoka kutafuta ju Nax Vegas sitaki kuiangusha
Nina one life sina kadhaa ka za paka
Nina one mic na express my right
This very night I trust no man, hata satan ni angel
Ulivuta mkia sai wanakutake very dear
Just dare utajua mi ni pastor
Kama nono chinja, kama tamu kula
Kama kali tema ka makali kunywa
Kama kali imba, kama nono chinja
Kama tamu kula kama kali tema
Ka makali kunywa kama kali imba
Na kama kali basi imba yeah
Ain't nothing better than this
Story of my life and you know this
Ain't nothing better than this
Story of my life and you know this
Ain't nothing better than this
Story of my life and you know this
Ain't nothing better than this
Story of my life yeah
Sikuchochi bro, sikuchochi bro
Utaishi mara moja tu
Sikuchochi bro, sikuchochi bro
Utaishi mara moja tu
Sikuchochi bro, sikuchochi bro
Utaishi mara moja tu
Sikuchochi bro, sikuchochi
Utaishi mara moja tu
Watch Video
About Yolo
More JULIE THIOSH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl