Hallo Lyrics by WAKADINALI


Ati unanyesha redcarpet ka mjulubeng ndani ya senye inanyesha
Huh appropriate, zile vitu appropriate
Developing your life, do denting your heart
Coz sai -- when she is divorcing your ass
Wanazima wapi mpaka kwa ratili
Penalty mpaka mahatricks, freekick
Now is kicking free kila halloween
Tunazitrickle treat

Mi si hasidi waridi, husband yako amefariki
Nimekam kukufariji
Hio harambe ikuje na ya mrambe
Hio harambe ikuje na ya mrambe

Mmmh aha just kiss my ass
Tulienda wapi tuliwaconfuse basi
Wakiborwanja! Mmmh aha just kiss my ass
Ati tulienda wapi tuliwaconfuse basi

Wakiborwanja! Mmmh aha just kiss my ass
Tulienda wapi tuliwaconfuse basi
Wakiborwanja! Mmmh aha  ha huh, hallo
Ati wakiborwanja

Uh yoh stay busy, call out my brother like brief me
This -- can't beef we 
Nina cladi za jana but now it's mbichi
Uh the best move is to listen
Rolling my late bro shoes when I miss him
Kismat nataka ning'arishe nimechoka kulipwa
Nataka niwalipe

Uh nafanya ngoma nilishe family
Am at the corner but am tryna live
Mi na bro hatujabonga 
Siku mingi hatujachomanga kiboza 
But mwambie mahali yuko ka kuna nona he can halla me

I thought I told you fck them romours
They call me Kovu Mountain mover
Nilitokea na kinduku ala inamuuma
Na nikikuja huku ujue hakunanga huruma basi

Mmmh aha just kiss my ass
Tulienda wapi tuliwaconfuse basi
Wakiborwanja! Mmmh aha just kiss my ass
Ati tulienda wapi tuliwaconfuse basi

Wakiborwanja! Mmmh aha just kiss my ass
Tulienda wapi tuliwaconfuse basi
Wakiborwanja! Mmmh aha  ha huh, hallo
Ati wakiborwanja

Unaahepa mbwa unagongwa na gari
Naitwa mtu wa jacko kubwa ukiniulizia mtaani
Ngoma inakuvuta ka Patrice Lumumba kwa Lami
Nilichoma Makena Shakes hadi akaniachia Ntalami

Hauko na snippet ye ndo alitoa ticket
Akatuma huyo kike na ati alikuwa na mkide
Hatuongeangi na vide, infact si huwasha mdihe
Ka shawty ameiva mkiche mkarange mpike

Ronga waliniwekea roadblock nikapita watu wao
Nikawashika Gbag na 4 bob ka bei ya viatu zao
Mi hutoka job na rudi home tu hakuna mtu ako proud 
Nawasha ndom naficha mtoo nahope for tomorrow

Bei ya direction ni das na jiji ni ng'at
Unabuya na ati unajiita ras
Niko late hivi kwa class kulikuwa na ngori mtaa
Corpse flani iliingizwa kwa landcruiser imepark
I'm like 

Mmmh aha just kiss my ass
Tulienda wapi tuliwaconfuse basi
Wakiborwanja! Mmmh aha just kiss my ass
Ati tulienda wapi tuliwaconfuse basi

Wakiborwanja! Mmmh aha just kiss my ass
Tulienda wapi tuliwaconfuse basi
Wakiborwanja! Mmmh aha  ha huh, hallo
Ati wakiborwanja

Watch Video


About Hallo

Album : Easy (Album)
Release Year : 2022
Copyright : (c) 2022 Zoza Nation/Rong Rende
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jan 13 , 2022

More lyrics from Easy album

More WAKADINALI Lyrics

WAKADINALI
WAKADINALI
WAKADINALI
WAKADINALI

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2022, We Tell Africa Group Sarl