
Za Kimotho Lyrics
...
Za Kimotho Lyrics by WAKADINALI
Ndranya me na wombor monalisa aah
Hatuko kwa missah utadhani kanisa
Alijazana nika tuko kwa nisaan
Tumejazana nika tuko kwa nissan aah
Ndranya me na wombor monalisa aah
Hatuko kwa missah utadhani kanisa
Alijazana nika tuko kwa nisaan
Tumejazana nika tuko kwa nissan aah
Za kimotho, Za kimotho Za kimotho
Za kimotho Za kimotho, Za kimotho
Za kimotho Kispaki
Za kimotho, Za kimotho Za kimotho
Za kimotho Za kimotho, Za kimotho Kispaki
Za kimotho
Zangu gym nani grizling
Hadi simu number itakuko show Ever busy
I’m like peas in the poj
Siku hizi ni mabizna On rotation eh eh eh
Busy beee mtu wangu hunanga bibi umeshindwa namachizi
Nguna kwangu wewe ni madam
I hope unang’am
Story zangu umeskiza easy nta fall salam
Rakan kaminya, rakan kaminya
Denge ka ni peng inabidi nakafinya
Siezi zaa ka si mristi we utajitoa
Pimp wake akaniuliza umetibiwa poa
Chess gambling langa’ata Huko rowe rao sinior citizen Akalia aah
Chess gambling langa’ata huko rowe rao sinior citizen Akalia aah
Ndranya me na wombor monalisa ah
Hatuko kwa missah utadhani kanisa
Alijazana nika tuko kwa nisaan
Tumejazana nika tuko kwa nissan ah
Ndranya me na wombor monalisa ah
Hatuko kwa missah utadhani kanisa
Alijazana nika tuko kwa nisaan
Tumejazana nika tuko kwa nissan ah
Za kimotho, Za kimotho Za kimotho
Za kimotho Za kimotho, Za kimotho
Za kimotho Kispaki
Za kimotho, Za kimotho Za kimotho
Za kimotho Za kimotho, Za kimotho Kispaki
Za kimotho
Natis sat pon de rock nikiskiza Ki congo
Surnifed by your truly Mr odongo
Usikue naza ovyo, cheki kando usichongoe chongo
Bado fuck mapopo na ni nani ana oppose, yoh
Ita uber baas Public figure situmii nissan
Na sitembeangi na mask mshajua
Ku monitor lizards
Ushai jipata imeshika hadi
Ukaskia kutoa mpira (usiwai)
Ka hutaki kuwa mziza (makarao)
Hawaku cheki fiti
Hawakujua nikona safe hadi kwa ceiling
High high hivi siwapatii hata shilling
Ka ni perfect we jua imepotia ma wips mingi
Si blinkingi mimi tunakodoa
Nika tuko miti, ka nilikufunza
Ku fish kwa pond yangu unafanya nini
Desperate ile design ukona aunce huna zigi
Hauna bro, hauna siz, we ndio the only kid
Ndranya me na wombor monalisa ah
Hatuko kwa missah utadhani kanisa
Alijazana nika tuko kwa nisaan
Tumejazana nika tuko kwa nissan ah
Ndranya me na wombor monalisa ah
Hatuko kwa missah utadhani kanisa
Alijazana nika tuko kwa nisaan
Tumejazana nika tuko kwa nissan ah
Za kimotho, Za kimotho Za kimotho
Za kimotho Za kimotho, Za kimotho
Za kimotho Kispaki
Za kimotho, Za kimotho Za kimotho
Za kimotho Za kimotho, Za kimotho Kispaki
Za kimotho
Alafu pause
Ukisonga wa kwanza unatoa soh
Baki hapo nikaa umekula kiapo
Bonga shit na niende na key ya choo
Ah beep mima, si shida eat dinner
Sip in that cheap liquor dock jinga hips sina shiver
Love you for the whole year
I’m not a week niggah
Bado me na ulizia, Mnajua bei ya shekila
Aliuliza what happens if we go broke
I told him stay away from me with those jokes
Aloo ! Ngaus imefika
Shii ! Cheza chini bro uko loud speaker
Bj moja kila siku utakosa Stress
Mpiga picha na gun you don’t pose a threat
Vitu tunaset zina tu affect
Nampenda ju ya pussy amekua pet
Watch Video
About Za Kimotho
More WAKADINALI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl