Bunda (Bonus Track) Lyrics
Bunda (Bonus Track) Lyrics by PRYSHON
From 17 nimekuwa nikikutaka
Shida utadhani nadanganya
Huskii kila day mi hushinda nikikuwaza
Cheki I swear mpaka saa hii jo nasaka
We run town, sababisha
Mathayo majegi tunachachisha
Man down looking through my insta
Kila siku kwa DMs wanabisha
Fine girls inna de area
Make you wanna turn up your stereo
If you’re physically fit, thick, slim
Turn up your stereo
They wan show me love, wan show me love
Nikidrop mpaka chini matata
They wan show me love, wan show me love
Wamependa hiyo mini
Aaaah, ukipewa mali utawezana?
Aaaah, ngeli ni ya Mpesa
Bunda (ah ah) Bunda
Mi napendanga maform za ma
Bunda (ah ah) Bunda
Tukidrop down wanarusha hizo
Bunda (ah ah) Bunda
Mi napendanga maform za ma
Bunda (ah ah) Bunda
Tukidrop down wanarusha hizo
From 17 nimekuwa nikikutaka
Shida utadhani nadanganya
Huskii kila day mi hushinda nikikuwaza
Cheki I swear mpaka saa hii jo nasaka
Yeah mi niko biz, yeah mi hubonga chin
Eeh ka ni mpesa we kuwa ready kureceive
New number ikikucall, baby usipick
Baby jifanye busy juu hawananga shit
Sema unadai kuenda wapi mi niko tayari
We ni kama mihadarati nakutamani
Kama jo unataka ganji niko na money
Hah! niko na money
Aaaah, ukipewa mali utawezana?
Aaaah, ngeli ni ya Mpesa
Bunda (ah ah) Bunda
Mi napendanga maform za ma
Bunda (ah ah) Bunda
Tukidrop down wanarusha hizo
Bunda (ah ah) Bunda
Mi napendanga maform za ma
Bunda (ah ah) Bunda
Tukidrop down wanarusha hizo
Watch Video
About Bunda (Bonus Track)
More lyrics from Gifted album
More PRYSHON Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl