Katunge Lyrics by VIJANA BARUBARU


Harambee tulikufanyia upate degree
Ng’ombe wangu nika muuza, upate fare ya kwenda jiji
Mate wazee wakakutemea kukubariki
Tulikesha tukikuombea
Mungu wetu akakutendeaa asya kyama
Motto wetu uliniwachia
Akiwa three
Simu ashajua kutumia
Anapiga hupatukani
Nimepatwa na habari, umetekwa huko nyari
Noooo
Is it a real thing, mi siko fiti
I’m crying over you

Katunge wakwa we, waendie ku?
Katunge wakwa we, waendie ku?
Katunge wakwa we, waendie ku?
Katunge wakwa we, waendie ku?

Wiku wiku ku ku
Wiku wiku
We, wiku wiku ku ku
Wiku wiku
We uko wapi ku ku
Wapi huko
We uko wapi ku ku

Nilitaka udance a yard before udance abroad
Nikipata za mjengo, nisare luch ubuy credo
On my black mamba
Hii kijiji watijua you are my number one
You are my number one
Uwerevu wa vitabu nilitaka upate
Ndio tubalance mahesabu ya mahindi kwa market
Niliambiwa na my grand mama
Fimbo nisieke mbali, ulimi wa nyoka ni mtamu
Big blander
Moyoni mwangu na believe we deserve a big wedding bado
Your favorite farmer nakusavia madoo
I miss tukikulia maembe kwa ndoo
Vitu mob zimehappen, syoka ngunenge uvoo
After you left the crops died
The river drie
Ukame mafuriko that’s my tag line
Intuition inaniambia umenisideline

Katunge wakwa we, waendie ku?
Katunge wakwa we, waendie ku?
Katunge wakwa we, waendie ku?
Katunge wakwa we, waendie ku?

Wiku wiku ku ku
Wiku wiku
We, wiku wiku ku ku
Wiku wiku
We uko wapi ku ku
Wapi huko
We uko wapi ku ku
Wapi huko
Wiku wiku
Wiku wiku
Uko wapi
Wapi huko
Wiku wiku
Wiku wiku
Uko wapi weee

Watch Video

About Katunge

Album : Katunge (Single)
Release Year : 2023
Added By : Farida
Published : Aug 09 , 2023

More VIJANA BARUBARU Lyrics

VIJANA BARUBARU
VIJANA BARUBARU
VIJANA BARUBARU
VIJANA BARUBARU

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl