Subira Lyrics
Subira Lyrics by PRYSHON
Subira, I am missing my baby
Mapenzi kama sossi, siondoki
Umekwama moyoni
Ila ya dunia ni mengi
Na hatuna mapeni, na madeni kwenye benki
Nasikitika Niko far from you
I wish I was at home with you
Nikona hamu, ntakupa mautam
Mjini nakazana twende far
Penye nia pana njia
Mpenzi wangu vumilia
You’re so romantic
They way you touch my heart
I feel so fantastic
Natamani nibaki Na wewe
Subiri, subiri, usiniache mimi
Nitarudi nyumbani
Subiri, subiri, usiniache mimi
Nitarudi nyumbani
I’m going crazy without my baby
Nakuota daily, I need you baby
Usiwaskize watakupoteza
Mi Niko biz nasaka pesa
Usiwaskize watakupoteza
Me and you baby it’s forever
Aaah! You’re so romantic
The way you touch my heart
I feel so fantastic
Natamani nibaki na wewe
Subiri, subiri, usiniache mimi
Nitarudi nyumbani
Subiri, subiri, usiniache mimi
Nitarudi nyumbani
Subiri, subiri, usiniache mimi
Nitarudi nyumbani
Subiri, subiri, usiniache mimi
Nitarudi nyumbani
Watch Video
About Subira
More lyrics from Gifted album
More PRYSHON Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl