Afro Royalty Gotta City artists: Stoopid Boy, Madocho, Liyetin and Pingo teams up once again to r...

Monchoka Lyrics by STOOPID BOY


Kama unajinauwo venye unajinauwo
Monchoka ukuje ubanje hapa ghetto tukuskize
Si we ni mbwegze, sisi sasa ndo world bwoos
World bwoos, world boss

(Zj Addict beiby)  Aha aha, aha, aha, aha (Prince on the beat)

[Pingo]
Singing for my nigga now you know me
Hustle for the trap for my nigga getting paper
Yeah yeah salaam aleikum taliban
Nikiwashikia Gucci za Gikomba na githaa ah ah

Buda ni dream ya kuwa daktari
Ukasoma na sasa nacheki ushakuwa mchawi
Vipi gathee mbwegze ni kuchoma picha
Na Jamo Gotta City maiyo ni kujenga jina 

Bang bang kula mboka ndio rieng'
Na washenzi wa gumbaru na kidungi ilimonchoka
Aki walai mi napenda nikibonda
Na stori za kungoja ndo zihufanya ninakonda

Chorea mbwegze wadaku waripoti
Hii ni jeshi ya madonda wakivunjika magoti
Gotta wazing hatutambuagi dumba
Tunatambua Babu makang'ethe huropoka

[Madocho wa Kanairo]
Monchoka! Waleikum salam wanaku venye 
Utang'ora gang ZAGA na we ni Gully
Monchoka! Millitary riang' ushakuwa bugi
Inadisia time hanaku ithaa ya kiumbuthe laugh style

Monchoka! Zuzu tulishanauwo mi ndio Trump
Kwa hii strap kumonchoka ni duwaaa
Monchoka! Kuwamuoch inadi ukidigi docho
Ni kehuti Drrrr senke uklata

[Liyetin]
Back to back monchoka imevuta mlami
Rap ni tough kuipanda utaitisha ngazi
Fans ni trap si genge ka ile ya zamani
Mtaani daaaa... jiepushe nami

Sijui ni sing unione mahali niko
Na kabla hii si unadigi hata ile mbogi haiko
Ama ni drill beat yafanya huoni mwito
Pingo we chill burner isiwe urazi kesho

Taking slow, killing though, making days better
Making know, shilling doh  Gotta siwezi sepa
Na hizo forge mingi joh staki weka weka
City blows to the top tena sioni presha

[Stoopid Boy]
Yeah! Am waiting for my wage ndo nibuy yangu range
World imechange but sijui ni which range
I want to make it but very hard to manage
Everybody ninajua on the street class
Hapa pale pale, hapa chuom smart pass
Made of glass

Dreaming big working hard come close future
Fullstop, comma, sijui sikusoma
I want to be the best kila msee kuniona
Ati nigga na zako ni ma dash dash
Wacha ujinga fanya kazi chap chap
Since on, on the streets so me getting into
Nimweleze nani shida zangu sioni mtu

Mi ndo yule hukesha mchana
Usiku mi nalala 
Idling mchana ndio sitaki onekana
Kung'ang'ana sana ndio nifurahishe matha

[Madocho]
Monchoka! Waleikum salam wanaku venye 
Utang'ora gang ZAGA na we ni Gully
Monchoka! Military riang' ushakuwa bugi
Inadisia time hanaku ithaa ya kiumbuthe laugh style

Monchoka! Zuzu tulishanauwo mi ndio Trump
Kwa hii strap kumonchoka ni duwaaa
Monchoka! Kuwamuoch inadi ukidigi docho
Ni kehuti Drrrr senke uklata

Monchoka! Monchoka!
Monchoka! Monchoka!
Monchoka! Monchoka!

(The Beat Killer)

Watch Video

About Monchoka

Album : Monchoka (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Gotta City
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 05 , 2020

More STOOPID BOY Lyrics

STOOPID BOY
STOOPID BOY

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl