We Nani Lyrics
We Nani Lyrics by BALAA MC
We nani? Hallo hallo hallo
We nani? Hallo hallo hallo
We nani? Hallo hallo hallo
We nani? Hallo hallo hallo
Dah! ina maana ulifuta
Siri ya zimenisahau kabisa
Sawa kitambo kidogo miaka sasa imepita
Ila sio kweli unisahau kabisa
Ila sawa, naskia umeolewa mwana
Tena una mtoto umefanana nayeye sana
Hongera hongera mama
Mi bado nipo naendelea kupambana
Mi ndo yule ulonidanganya unanipenda
Kisa umasikini ukaniacha ukaenda
Ulitaka nyama ulishindwa kula mrenda
Mwisho wa siku ukanitoroka ukaenda
Ila kipi ulitaka sijakupatia?
Mapenzi ya dhati nilikuonyeshea
Kuzingatia nilikuzingatia
Kwa mama Sara kijona nilikulipia
Hatugombani nakukumbusha tu
Ishi kwa amani usiishi roho juu
Simu yangu si ya ugomvi nilikumiss tu
Japo umeondoka ila moyoni unaishi
Ila sawa, naskia umeolewa mwana
Tena una mtoto umefanana nayeye sana
Hongera hongera mama
Mi bado nipo naendelea kupambana
We nani? Hallo hallo hallo
We nani? Hallo hallo hallo
We nani? Hallo hallo hallo
We nani? Hallo hallo hallo
Jamani hii, hii, nikuogope
We eti nisibakie nikuogope wewe
Hii, hii, akuogope
We eti asicheze chura akuogope wewe
Shika chini we dada usiangalie sura
Tikisa moja moja sijaona ukicheza chura
Twende
Shika chini we dada usiangalie sura
Tikisa moja moja sijaona ukicheza chura
Twende
Hii, hii, nikuogope
Haunilishi haunivishi nikuogope wewe
Hii, hii, nikuogope
Sikujui hunijui nikuogope wewe
Sina fagio fagio langu la chuma
Kwanza hatuendani mi mzingua sijui mwenzangu
Sina fagio fagio langu la chuma
Kwanza hatuendani mi makonde sijui mwenzangu
Jamani umoja ni nguvu utengano ni udhaifu
Na mi ni mwanadamu isipokuwa nina mapungufu
Jamani umoja ni nguvu utengano ni udhaifu
Na mi ni mwanadamu isipokuwa nina mapungufu
Jamani we mcheza kususia
Na sijaona ukisusa
Hilo amekupa amekususia
Ole mcheza kususia
Na sijaona ukisusa
Hilo amekupa amekususia
Watch Video
About We Nani
More BALAA MC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl