BALAA MC  Utajibu Nini cover image

Utajibu Nini Lyrics

Utajibu Nini Lyrics by BALAA MC


Wee mushizoo utawauaa
Ooh utajibu nini
Siku  ikifika utajibu nini wewee
Ndugu yangu utajibu nini
Siku ikifikautasema nini wewee

Ebu kwanza vuta pichaa ndo tayalii palapandaa shalia
Milango ya tobaa ishafungwa we wapi utakimbiliaa
Mwenzangu upo geto ujaoaa umekumbatiaaa
Au babda ulikesha baa mkononi unachupa ya biaaa
Wedada utamueleza nini mungu wako
Unadanga nnje wakati ndani unamume wako
We Baba utelekeza family yako
Pesa unamaliza club kutanzamia matak
We kaka utamueleza nini mungu wako
Eti kisa fedha unamuingia kinyume mwenzako
Utameuleza nini mungu wako
Leouna pesa nyingi ila kwakudhurumu wenzako

Sijuii itakuaajee
Siku hiyo ikifiikaaaaa
Sijui itakuaaajeeeee
Hebu vuta picha itakukuta wapi
Sijui itakuaje, we para itakuaajeee
Itakapo liaa, sijui itakuaaajeeeee
We upo ndani kucha umesimamiaaa

Hebu onaa ujulikani ata dini gani
Uonekani msikitini wala kanisani
We ni mtu gani duniani unafanya nini
Kazi kushinda vijiweni na nakupenda penda chini tuuu
Ukwelii unaaumaaa nalijua hiloo
Na ndomana hii nyimbo sijaaanza na wololilolilooo
Nawakumbusha tuu tusisahau wanangu sawa
Tufante yetu ila tujue kuna mungu juuu

We shakodazi utajibu nini
Siku ikifika utasema nini weweee
Digale utajibu nini
Siku ikifika utasema nini weweee
Maliki simba utajibu nini
Siku ikifika utasema nini weweee
Hemed utajibu nini
Siku ikifika utasema nini weweee
Oohoooooooo

Kuna milango miwiliii yakuchagu weweee
Kumbuka mlango unaoendananao ndo utaendaa weweee
We dada ulidanga ovyo duniani basi utaenda motoniii
Wekama ulifanya ulifanya mema duniani basi utakwenda peponi
Jamani kuanzia leo sitendi zambi nataka niende peponi
Wee endelea na uzinzi wako ila ujue kesho motoni nimeacha
Kunywa pombe nimeacha
Nimeacha kuvata bangi
Nimeacha jamani
Nimeacha uzinzi nimeacha
Nimeacha mpaka umalaya
Nimeacha mwenzenu
Nimeacha kuiba nimeacha
Nimeacha mpaka uongo nimeacha
Acha bahariaaaaaa
Aa balaa mc 26Kipaji eeh
Aa nikiwa waswahili music eeh
Aah nikiwa na diblo one touch touch
Aa bonyeza Baba
Stan bakora
Aa nakubali sana wazee wa vinanda classic eeh
Aa team ile ile 26kipaji eeh
Aa nakubali sana meneja smoulder
Aa nikiwa na mushizo utawauaaa
Aa nakuabali sana watoto wa mbagala
Temeke kinondoni mpaka ilalaaa
Aa nakubari wanangu wa bongo dar es salama
Watoto wa tandale, mzense kigogo mpaka lwanga
We konde kan mudy k
Aa show kali wewe


About Utajibu Nini

Album : Utajibu Nini (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Feb 05 , 2022

More BALAA MC Lyrics

BALAA MC
BALAA MC
BALAA MC
BALAA MC

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2022, We Tell Africa Group Sarl