Natapatapa Lyrics

NUH MZIWANDA Tanzanie | Bongo Flava,

Natapatapa Lyrics


Beiby nakosa mabawa (iyee)
Mwenzako nachechemea (iyee)
Unavyofanya naona sawa (iyee)
Na mimi moyoni naumia (iyee)

Napata habari wewe una kula bata
Uwe wa tungi na starehe
Wala huna habari mashoga wamekuteka
Umekuwa shange dede

Ulitoa kafara kwenye penzi lako ilimradi uridhikeee
Unavyofanya sasa
Hauna shukurani nimeamini kweli ya punda matekee
Oh nah nah nah nah

Natapatapa uki go my love
Natapatapa ukigoooo
Natapatapa uki go my love
Natapatapa ukigoooo
Natapatapa uki go my love
Natapatapa ukigoooo
Natapatapa uki go my love
Natapatapa ukigoooo

Umebadilika sana
Umekuwa jini kisirani (ooh wee ooh)
Tabia yako bwana
Mbaya we Haufanani (ooh wee ooh)

Me nakumiss vile bed unavyodekaga
Aaah bed vile unavyodekaga
Wewe uko wapi nakumiss wangu vidada
Aaah nakumiss wangu vidada

Napata habari wewe una kula bata
Uwe wa tungi na starehe
Wala huna habari mashoga wamekuteka
Umekuwa shange dede

Ulitoa kafara kwenye penzi lako ilimradi uridhikeee
Unavyofanya sasa
Hauna shukurani nimeamini kweli ya punda matekee
Oh nah nah nah nah

Natapatapa uki go my love
Natapatapa ukigoooo
Natapatapa uki go my love
Natapatapa ukigoooo

Natapatapa uki go my love
Natapatapa ukigoooo
Natapatapa uki go my love
Natapatapa ukigoooo

Natapatapa ju ya penzi lako vile nakumiss

Natapatapa
Ju ya penzi lako
Natapatapa
Natapatapa
Ju ya penzi lako

 

NUH MZIWANDA (2 lyrics)

Naftal Mlawa, better known as Nuh Mziwanda, is a Bongo Fleva singer from Tanzania.

Leave a Comment