Usitoe Lyrics
Usitoe Lyrics by BEST NASO
Nilikutana naye msichana alinifunza mapenzi
Nilikutana naye kimwana akanifunza kuenzi
Siku zinakwenda nami nimekazama haswa nikatunga mpaka tenzi
Siku zimekwenda mara kapata mimba
Kaanza kucharuka mama
Akataka tutoe nami mtoto sina
Nataka tulee ye anasema hapana
Mpenzi anapenda disco (Disco)
Mpenzi anapenda bata
Mpenzi anataka mimba tutoe
Sababu ya kuruka majoka
Ikawa kila siku nabembeleza
Usitoe mimba yangu mama (Usitoe)
Usitoe mimba yangu
Nakuomba usitoe mimba yangu mama (Usitoe)
Usitoe mimba yangu
Vumilia kidogo usitoe mimba yangu mama (Usitoe)
Usitoe mimba yangu
Najua unapenda bata starehe
Hivi vyote utavikuta vipo
Usitoe, usitoe mimba yangu
Oooh mama usitoe
Oooh mama usitoe
Kubembeleza kote na kumjali
Mwezangu kumbe ni bure tu
Kumbe mwenzangu lake bado lipo
Lipo kichwani
Kumbe mwenzangu kashanunua dawa
Mi ni mtu mishe mishe kavizia nimetoka
Dawa kameza
Narudi sina hili lile niko zangu nimechoka
Sebuleni namkuta kaanguka
Kashakufa uhai umetoka kaondoka
Kifupi hakuipenda mimba
Anataka tutoe nami mtoto sina
Ninataka tulee ye anasema hapana
Mpenzi anapenda disco (Disco)
Mpenzi anapenda bata
Mpenzi anataka mimba tutoe
Sababu ya kuruka majoka
Ikawa kila siku nabembeleza
Usitoe mimba yangu mama (Usitoe)
Usitoe mimba yangu
Nakuomba usitoe mimba yangu mama (Usitoe)
Usitoe mimba yangu
Vumilia kidogo usitoe mimba yangu mama (Usitoe)
Usitoe mimba yangu
Usitoe
Usitoe mimba yangu
Usitoe
Usitoe mimba yangu
(Moja Moja Records)
Watch Video
About Usitoe
More BEST NASO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl