
Twapendezana Lyrics
...
Twapendezana Lyrics by BEST NASO
Eeh
Sura tabasamu lako ooh
Utaniuwa mi mwenzako ooh
Nayapenda macho yako ooh
I love you, i love you
Nitamuambia mama yako ooh
Umeishika yangu roho
Sijiwezi mi mwenzako ooh
I love you, i love you
Nikusifie we ndio unajua mapenzi
Tuombe dua atubariki mwenyezi
Vishawishi tuvishinde ooh my baby girl
Wapo waliosema eti kwamba sikuwezi
Penzi letu halifiki hata mwezi
Vishawishi tuvishinde ooh my baby girl
Mimi na yeye hata msipo sema
Twapendezana ooh yeeh
Twapendezana aah
Mimi na yeye hata msipo sema
Hatuto achana ooh yeeh
Hatuto achana aah
Hivi ninani anamzidi baby wangu
Nani mzuri kumzidi baby wangu
Nani mzuri anamzidi baby wangu
Ajitokeze
Nani anatabia nzuri kama baby wangu
Nani anashepu nzuri kama baby wangu
Hivi ninani anamzidi baby wangu
Ajitokeze
Nikiwa nae naenjoy uuh uuh
Kama niko paradise
Najiona kama peponi (kama peponi)
Nikiwa nae naona rahaa
Dunia nimemaliza
Najiona kama peponi (peponi)
Anzia na sauti yake
Kisha uje body yake
Ukinigusa mwili wake
Ananimalizaa
Ukianzia rangi yake yeye
Nazipenda mpaka zake lips
Mola kanipa kama gift
Hasa nim cheat huyu kivipi
Hivi ninani anamzidi baby wangu
Nani mzuri kumzidi baby wangu
Hivi ninani anamzidi baby wangu
Ajitokeze
Mimi na yeye hata msipo sema
Twapendezana ooh yeeh
Twapendezana aah
Mimi na yeye hata msipo sema
Hatuto achana
Sisi hatuto achana
Mimi na dear aah
Twapendezana
Watch Video
About Twapendezana
More BEST NASO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl