Nilie vipi Kayombo Lyrics
Nilie vipi Kayombo Lyrics by BEST NASO
Sitasahau mwaka 2007 nikiwa mtaani nasota sota
Tumechoka kama chokoraa
Na mwanangu wa damu chifu maker
Ukaona bora utusaidie
Ulipogundua vipaji vyetu ukapigana kwa moyo na roho
Ukatukutanisha na Dj Rwarumu
Wimbo wetu wa kwanza uliitwa "Zaina"
Na waTanzania wakaupokea
Wimbo wetu wa pili uliitwa Tuma
Tuma ringa ndo ikatoboa
Na maisha yakachange kidogo
Walotudharau wakapungua
Tukajivunia Kayombo
Na kila ofisi tukaingia tukavimba tukatamba sana
Wasio tujua wakatujua
Show yangu ya kwanza ilikuwa Congo
Ulifurahi sana ukaniambia
Naso kwa sasa umekuwa
Ongeza bidii usijepotea
Wakati huo wimbo ni mwamada
Ninafanya hapo mtaaani nalia
Niliporudi Congo hatukuchelewa
Tukaachana rudi kijijini
Ikawa balaa tukajipongeza mate bila nakotra
Na viwanja vyote Musoma
Muda wote ulipenda kucheka
Sitosahau tulipokuwa na Bongo
Na marafiki Kevin na Mapambano
Eti hatutakuona tena
Dunia kwangu naona imekuwa mzigo
Mchoraji mwenzangu ni wewe Kayombo
Hivi ni nani nitamtaja tena
Moyo wangu umejaa simanzi kuondoka
Baba yangu mlezi
Tutakukumbuka, tutakuenzi
Tutakukumbuka, tutakuenzi
Tutakukumbuka, tutakuenzi
Tutakukumbuka, tutakuenzi
RIP Kayombo Doctor
Watch Video
About Nilie vipi Kayombo
More BEST NASO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl