
Nakupenda Lyrics
...
Nakupenda Lyrics by KASSAM
Kassam
Niambie unanipenda
Niambie unanijali
Niambie kila siku
Ndio kitu napenda
Kufia kwa kidonda
Nzi akishapenda
Mi kwako si kitu
Umechana kalenda
Nimegundua aaah
Kwenye dunia aah
Kinachosumbua
Ni mapenzi
Naomba hata mvua inachosumbua
Kwenye yangu moyo ni yako mapenzi
Nakupenda aaah
sana sana (sana)
Sana sana( sana)
Nakupenda
sana sana (I love you)
Sana sana
Sana sana
Usiende mbali hata kidogo
Ukienda mbali mimi nitajifia
Kwenye kuumbwa kwangu kwenye udongo
Mungu alichanganya na wako pia
Sikudanganyi hata kidogo mi nakupenda na nimejifia
Wanaosema ni muongo
Nawaachia Mola atanijibia
Habari habari penzi nakupa
Nimepata mchumba hatari hatari hatari
Nimegundua aaah
Kwenye dunia aah
Kinachosumbua
Ni mapenzi
Naomba hata mvua inachosumbua
Kwenye yangu moyo ni yako mapenzi
Nakupenda aaah
Sana sana, (sana)
Sana sana (sana )
Nakupenda
Sana sana (I love you)
Sana sana
Sana sana
Watch Video
About Nakupenda
More KASSAM Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl