FEMI ONE Valentina Shevchenko cover image

Valentina Shevchenko Lyrics

...

Valentina Shevchenko Lyrics by FEMI ONE


Oya nobody moving till I say so

Kula pamba kama hufuati maelezo

Wale wenye suti wanadharau malesso

Basi maonyesho ya leo ni ya mateso

Oya nobody moving till I say so

Sharpen pencil bado haufikii pengo

Bado hungry star na njaa ya ten bob bas

Pass pah Valentina Shevchenko

Najituma wasiseme walisema

Naisema naifanya ndio wasiseme nilisema tu

Kipyegon nawapita wanahema tu

Reality check nachana wanatema

Tunakimbiza wakati hatushindani na watu

Siezi choka nikisare naeza fyatu

Pamba leather boots

Chini ni masiafu

Kuna mbuzi kwa zizi

Hiyo ni sahani ya chat

Pass pah Valentina Shevchenko

Pass pah Valentina Shevchenko

Central girl in your mental

Naenda san sistop I don’t settle

Pass pah Valentina Shevchenko

Pass pah Valentina Shevchenko

Central girl in your mental

Naenda san sistop I don’t settle

Nikimean business mi hukeep account

Pound for pound kila twenty inacount

Pound for pound kila soo kiknocout

Pound for pound na siongezi hata ounce

Nigga hush or no jasho

Akili ndio muscle

Ukishindwa usiseme una mchanga kwa macho

Wababa si wanfinyia Femi macho

Yeah less stress more sunshine

More love no hate more fun time

Mi kujituma mi hufanyia ata blood lines

So kunipima ni kukalianga land mine

Before niflat na inazoza

Wananiombea nishuke watangoja

Before maombi zifike watapoza

Utanipata kiamaiko kwa mboka na soda

Pass pah Valentina Shevchenko

Pass pah Valentina Shevchenko

Central girl in your mental

Naenda san sistop I don’t settle

Pass pah Valentina Shevchenko

Pass pah Valentina Shevchenko

Central girl in your mental

Naenda san sistop I don’t settle

Watch Video

About Valentina Shevchenko

Album : (Single)
Release Year : 2025
Copyright :
Added By : Sharon Abonyo
Published : Jul 19 , 2025

More FEMI ONE Lyrics

FEMI ONE
FEMI ONE
FEMI ONE

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl