
Sema Lyrics
...
Sema Lyrics by FEMI ONE
Aaaaah yeaaah
Is it true that you like me?
What you do, you entice me
Boy come and cool my dilemma
I don’t even mind kenye watu watasema
Is it true that you like me?
What you do, you entice me
Boy come and cool my dilemma
I don’t even mind chenye watu wata
watu wata sema, sema sema
Sema, sema, sema
Sema, sema, sema
Sema, sema, sema
Ukiniahidi utawapa na mi sitaenda
Ni wapi naenda
Ju mi siwezi amini ulinichagua mimi kunipenda
Njoo nitakupenda
Na sio siri si tukiwa wawili wanapenda
Tuwape sinema ayayai
I don’t wanna waste your time
You’ve been on my mind
Sema unanipenda kama ulivyo isema jana
Watu wata sema, sema, sema
Sema, sema, sema
Sema, sema, sema
Sema, sema, sema
Wewe wacha waseme
Dawa umenipea mbona mimi sasa niteme
Napona trauma sisi huaga chanda na pete
Kalongo toka tene
Passionate lovers
Ni ngumu si kua loners ju hakuna love birds ka sisi
Hii ndio wanachora kwa wish list
Waite wote wacome wawitness tukisign kwa kasisi
Waende waeke kwa X
Waone tukipeana mapenzi
Si ni friends so sijaitense vile tweeps wata comment
Watu wata sema, sema, sema
Sema, sema, sema
Sema, sema, sema
Sema, sema, sema
Watch Video
About Sema
More FEMI ONE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl