Mwenye Enzi Lyrics
Mwenye Enzi Lyrics by ALI MUKHWANA
Ni ni ni
Tuna kuabudu mungu mwenye enzi
(Tuna kuabudu mungu mwenye enzi)
Tunainama mbele zako tukisema
E wewe mungu wastahili
Wewe ndiwe kiongozi mwema
Mfariji mwema twakwabudu
Nikisema mimi ni msafi
Nitakua mimi na jidanganya
Wewe ndiwe kiongozi mwema
Mfariji mwema twakwabudu
(Tuna kuabudu mungu mwenye enzi
Tuna kuabudu mungu mwenye enzi)
Wewe ndiwe kiongozi wangu
Tena mchungaji wangu wa karibu
Wewe ndiwe kiongozi wangu
Tena mchungaji wangu wa karibu
Mimi ni nani na bwana wangu nisikusifu
Mimi ni nani na bwana wangu nikuabudu
Uliniumba mungu wangu kwa mfano wako
Tunasema bwana wangu uinuliwe
(Tuna kuabudu mungu mwenye enzi
Tuna kuabudu mungu mwenye enzi)
Halleluyah
Nani kama wewe Yesu
Nani kama mwenye upendo kama wako
Nani aliyeumba mwanadamu
Kwa mfano wake Yesu
Nani mwenye neema kama zako hee
Popote ulipoenda Yesu ulitenda mema
Tenda mema siku ??? mfalme wa amani
Nani kama wewe unastahili kuabudiwa
Unastahili kuabudiwa unastahili
Halle, halleluyah
Wastahili
Halle, halleluyah
Wastahili
Halle, halleluyah
Wastahili
Halleluyah Wastahili
Halleluyah Wastahili
Watch Video
About Mwenye Enzi
More ALI MUKHWANA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl