Niko Sawa Lyrics
Niko Sawa Lyrics by KELECHI AFRICANA
Tam tam tam kanipenda my girl
Beiby huba nikujalie chumbani ulegee
I say chipoloko beiby
Hata gizani nikuweke
Prokoto rege
Uno la soto kisebene
Am so low, low, low low low
Kwako nimezama
Please don't go, go go go
Ukienda nitakwama
I say, I wanna see your hobby beiby
No one can love you like me
Ooh no niko sawa(Sawaa)
Hata waseme ya nini(Sawaa)
Unipe busu bafuni(Sawaa)
Chochote ufanyacho kipenzi(Sawaa)
Yaani niko sawa(Sawaa)
Beiby I love you(Sawaa)
Unipe busu bafuni(Sawaa)
Chochote ufanyacho kipenzi(Sawaa)
Yaani niko sawa
Am okey am alright niko shege niko sawa
Najiona nikipaa na sina mabawa
Naziona story za Adamu na Hawa
Mi mzima au chizi sijui nimepagawa
Whatever you like mama niko sawa
Napenda tuoge pamoja twende shower
Riziki ngoja tusubiri kwa mwenye Baba
Nini Mombasani jioni unywe kahawa
Wapige chini nani na nani ka na mzawa
Ule maini ukiwa nyumbani kwetu kipawa
Baki na mimi mama kwani hatuendi sawa
Gubika kikombe kawawa
Najenga jumba la penzi haliharibiki
Nishapiga roba mama habadiliki
Kwake mi ni zoba sitamaniki
Ushaniroga - ya kwenye kiti
Basi changanya na viroba na tucheze na muziki
Ooh no niko sawa(Sawaa)
Hata waseme ya nini(Sawaa)
Unipe busu bafuni(Sawaa)
Chochote ufanyacho kipenzi(Sawaa)
Yaani niko sawa(Sawaa)
Beiby I love you(Sawaa)
Unipe busu bafuni(Sawaa)
Chochote ufanyacho kipenzi(Sawaa)
Yaani niko sawa
Mtoto toto wanipa joto
Baridi silali
Kwako funika kidogo
Baridi silali
Mtoto toto wanipa joto
Baridi silali
Kwako funika kidogo
Baridi silali
Sawaa, sawaa, sawa sawa
Sawaa, sawaa, sawa sawa
Watch Video
About Niko Sawa
More KELECHI AFRICANA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl