Nishikilie Cover (Jowie irungu) Lyrics
Nishikilie Cover (Jowie irungu) Lyrics by KELECHI AFRICANA
Ewe Mola ndo unajua shida zangu
Hustle zangu za kila siku
Nakuomba unitoe kwenye mikono ya maadui
Amina
Nishike, nishi, nishikilie
(They call me Fleek boss)
Its a TK2 prodakshizzo
Mikosi mikosi taabani
Mimi siwezi bila wewe
Siwezi bila wewe yeyeye
Nishike, nishikilie
Mwamba ni salama
Mwamba ni salama
Nishike, nishikilie
Mwamba ni salama
Mwamba ni salama
Mwamba ni salama
Kila nichoomba we umenipa
Hata dua zangu we umeitika
Nitake nini zaidi yako?
Oooh Rabani
Japo kuna wengi wananipigana
Oh Mola niepushe zao shari
Nitake nini zaidi yako?
Rabani kila walipofunga wanifungua
We ndo wangu beautifier
Palipo na kiza nitoe maanani
Ooh manani, why Lord
Na binadamu wabaya, why Lord?
And they don't wanna see my success, why Lord?
Wala hawaoni haya, why Lord?
Wanataka mi ni-suffer
Ee Mola niepushe na marafiki wanafiki
Wasotaka unibariki niondolee maanani
Nishike, nishikilie
Mwamba ni salama
Mwamba ni salama
Nishike, nishikilie
Mwamba ni salama
Mwamba ni salama
Ye ni mwamba
Mwamba ni salama
Mwamba ni salama
Nishike, nishikilie
Mwamba ni salama
Mwamba ni salama
Watch Video
About Nishikilie Cover (Jowie irungu)
More KELECHI AFRICANA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl