Kuzina Nawe Lyrics by FEMI ONE


(Ricco beats Mr 808)
Gimme the bounce ongeza tempo
Hii ni ya machali wa Nairobi na warembo
Hii ni ya machali wa Kampala na warembo
Inua mikono na chupa mbili za tembo

Gimme gimme dance gimme gimme
Gimme gimme dance give it to me
Rise up the tempo base and treble
Huku ongeza base, huku ongeza treble

Kuzina, kuzina nawe
Kuzina, kuzina nawe
Njagala kuzina nawe
Me go take you home after party

I like a chali that likes to party
Chali anafanyanga nageuka naughty
Chali anapendaga kurusha noti
Pale kwa benki ni madollar kama mita 40

Mhudumu mwambie aongeze glassi
Pedi wangu washanishikisha na mashash
Hakuna keki lakini bonge la bash
Pamba moja safi nimepulizia marash

Na ni kumoto sana maji baridi itaweza
Wamekunja sura walimeza bila chaser
Rada safi si mpaka wamechafua meza
Usiwai bishana na mtu ako na pesa

Kwetu 17B leo niko Kampala
Tunakulanga hepi mbaya
Tukifika klabu hawa mamanzi wanagwaya
Liquid ni moto tunakunywa konki fire
Faya faya faya 

Gimme the bounce ongeza tempo
Hii ni ya machali wa Nairobi na warembo
Hii ni ya machali wa Kampala na warembo
Inua mikono na chupa mbili za tembo

Gimme gimme dance gimme gimme
Gimme gimme dance give it to me
Rise up the tempo base and treble
Huku ongeza base, huku ongeza treble

Kuzina, kuzina nawe
Kuzina, kuzina nawe
Njagala kuzina nawe
Me go take you home after party

I love the gals that love to party
I love the sound I love the art
Ever happy, ever smart
Kat kuzina -----

----
----

Gimme the bounce ongeza tempo
Hii ni ya machali wa Nairobi na warembo
Hii ni ya machali wa Kampala na warembo
Inua mikono na chupa mbili za tembo

Gimme gimme dance gimme gimme
Gimme gimme dance give it to me
Rise up the tempo base and treble
Huku ongeza base, huku ongeza treble

Kuzina, kuzina nawe
Kuzina, kuzina nawe
Njagala kuzina nawe
Me go take you home after party

Gimme the bounce ongeza tempo
Hii ni ya machali wa Nairobi na warembo
Hii ni ya machali wa Kampala na warembo
Inua mikono na chupa mbili za tembo

Gimme gimme dance gimme gimme
Gimme gimme dance give it to me
Rise up the tempo base and treble
Huku ongeza base, huku ongeza treble

Kuzina, kuzina nawe
Kuzina, kuzina nawe
Njagala kuzina nawe
Me go take you home after party

Watch Video

About Kuzina Nawe

Album : Greatness (Album)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 Kaka Empire.
Added By : Huntyr Kelx
Published : May 31 , 2021

More lyrics from Greatness album

More FEMI ONE Lyrics

FEMI ONE
FEMI ONE
FEMI ONE

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl