Wapewe Lyrics
Wapewe Lyrics by FEMI ONE
Femi One, B2C soldiers lovely one
(Kaka Empire is the lifestyle)
Wacha wapewe, wacha wapewe
Wacha wapewe, wacha wapewe
(Bern Music)
Pass me the oaks and the marijuana
Kama hupendi vibe mi sipendi wana
Napenda sana kuparty sana
Maji mingi kwa order leo tunapatizana
Mmmh tumefinyana kwa moti
Piga shot yako pitisha kibodi
After party kwangu tukifika home
Ni lazima sisi tusumbue watu kwa ploti
Baby girl whine up big bum bum bum
Peace wanna killa, me no fear
Everyday is a party time
Gyal me no care, no fear
-------
-------
Wacha wapewe, wacha wapewe
Wacha wapewe, wacha wapewe
Wacha wapewe, wacha wapewe
Wacha wapewe, wacha wapewe
---------
---------
Wacha wapewe, wacha wapewe
Wacha wapewe, wacha wapewe
Wacha wapewe, wacha wapewe
Wacha wapewe, wacha wapewe
Na makarao waitwe ndio tuwahonge
Na tuwapatie chupa mbili za pombe
Na tugonge cheers kwa baba
Ambia swara sisi hatutaki nuks hapa
Niko juu ya Gin pale Jinja na B2C
Picha kwa Insta napigaga mavitu real
Niko na dealer huzisunda kwa riz na skill
Wewe pewa usijali nitafunika bill
Wacha wapewe, wacha wapewe
Wacha wapewe, wacha wapewe
Wacha wapewe, wacha wapewe
Wacha wapewe, wacha wapewe
Watch Video
About Wapewe
More lyrics from Greatness album
More FEMI ONE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl