GTA Lyrics
GTA Lyrics by MANDO
[HOOK]
First of all, jina ni mando
Nimekam kukill ku mada track
Kuchafua rada na ku get some bills
Sinanga chills,
Nakuanga sick nakuanga always ill
Chini ya maji under water
Kama msee ana ma gills
Ching, chingli analia alipigwa chuma
Chigli na alizama after kutaja majina za watu rong
Azame chini futi tisa mahali anabelong
Gta mbogi mbaya ya ma gangster na ma don
[VERSE]
Mi hu spit na design,
Mi hupenda nikiwa inside
Mi hupenda kirai nikidara io behind
Mi huturn your main chick anakua to my side
Mi hutake hizo change
Mi hu roll the f*cking dice
Friday niko base nimechill tu niko mangwai
Nime chill n mdame ameweza tu amewahi
Zake ni mawine zikishika ana wine
Akitaka kitu mi nampea mi na mwahi
Mi huwafunika kama caskett
Mi huwapigisha hio bucket
Diet ni ma ratchet
Mi hukula kitu ina asset
Kesi ka si story doh mi najua hio ni nonesence
Kama we ni opp si unajua we ni target
Kama si niko zone si unajua mi huwanga danger
Naingia hii beat.. Naimada kama texas ranger
(naimada kama texas ranger)
[HOOK]
First of all, jina ni mando
Nimekam kukill ku mada track
Kuchafua rada na ku get some bills
Sinanga chills
Nakuanga sick nakuanga always ill
Chini ya maji under water kama msee ana magills
Ching, chingli analia alipigwa chuma
Chingli na alizama after kutaja majina za watu rong
Azame chini futi tisa mahali anabelong
Gta mbogi mbaya
Ya ma gangster na ma don
[VERSE]
Exit ni nine, kuwa maji na huwa tunapenda steam
Mbogi ni rong, mtaani wanakuanga watutii
Warazi though,
Wanadai kutuona tumevaa ma ting
Aina was niko ready kutake one for the team
So far so good, bado nameke maganji na make ma doh on the low
Bado na ching mafala i touch and go
Mi hupenda pongi, hata ikinyesha mi hudishi raw
Hii game ni tough, huezi ingia na mlango labda diro
Mi ndio killer, na bado mi hupenda thriller
Damage ni kama godzilla
Nikiwa tu behind the f*cking trigger
Kidungi dungi idunge
Squadi leo unatuita stingers
Mahater hukaza tu kunyi
Tuki get ganji na duri
[FINISH]
First of all, jina ni mando
Nimekam kukill ku mada track
Kuchafua rada na ku get some bills
Sinanga chills
Nakuanga sick nakuanga always ill
Chini ya maji under water kama msee ana magills
Watch Video
About GTA
More MANDO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl