
Tutapata Nini Lyrics
...
Tutapata Nini Lyrics by JAPHET ZABRON
Je, wamjua huyu mtu, huyu je, wamjua
Hapana simjul mimi, namsikia tu
Si ndio wale wanaitwa watumishi wa bwana
Yes, ndio hawa wana wa mungu
Nauliza hivi kweli, huyu mungu yupo
Ni ukweli na uhakika, huyu mungu yupo
Je, huyu nae ni kweli ni mtumishi wake ee ee eeh
Kuhusu hilo sijui mimi, tumuachie mungu
Mbona simwamini, wala simuelewi huyu je, anastahili
Sisi sote ni wa mungu na hukumu tumuachie mungu
Hebu niulize faida, utapata nini kwa yesu
Ukimpata huyu yesu umepata vyote
Naulizwa bwana nitapata nini
Nimeacha byote, nikakufata wewe
Najibu kwako nimepata vyote
Tangu nikupate, umerudisha vyote
Nina swali hapa unipa utata siku zote
Je ni mtu yupi sahihi ni muhubiri juu ya yesu
Taambiwa hapa uende na kule usiende
Nawaza tutaipeleka vipi injili ulimwengeni kote
Atamjuaje mungu bila kwenda kumuona
Nijifunze nae ni mueleze habari zake yesu
Hata muonekano pia mwenendo wangu unatosha
Msaidia kuzijua tabia wana wa mungu
Hebu niulize faida, ipi unapata kuwaza wenzio wa dhambi nawe ni mkamilifu sana
Tutaweza vipi kufanana nae yesu bila kuyachukua
Maisha yake na kuyaishi kama alivyoyaishi
Niulize mimi nawazaje, takwambia natamani nimuone
Kila mmoja wetu amemjua, huyu yesu ni nani
Naulizwa bwana nitapata nini
Nimeacha byote, nikakufata wewe
Najibu kwako nimepata vyote
Tangu nikupate, umerudisha vyote
Naulizwa bwana nitapata nini
Nimeacha byote, nikakufata wewe
Najibu kwako nimepata vyote
Tangu nikupate, umerudisha vyote
Watch Video
About Tutapata Nini
More JAPHET ZABRON Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl