
Ushindi ni Hakika Lyrics
...
Ushindi ni Hakika Lyrics by JAPHET ZABRON
Bwana ninajua, we ukitangulia mbele
Nitaona hatua, zangu zikienda mbele
Ushindi ni hakika, maana yesu uko mbele
Ukiniongoza utaimulika njia
Bwana ninajua, we ukitangulia mbele
Nitaona hatua, zangu zikienda mbele
Ushindi ni hakika, maana yesu uko mbele
Ukinionoza, utaimulika njia
Jina lake ni niko, mungu ambaye niko
Bwana ni leo, jana, kesho wewe unaishi milele
Ni wee yule ukitangaza, jina lako miungu yote
Kuhukimbia, mungu wa kweli udhihilika
Huko mbinguni, sauti moja tu ikisikika, tunasikia
Yenye mamlaka, uponyaji vitu vyote, ni yake mungu ikisema imetenda
Ndio maana leo, tunalitangaza jina la yesu ni jina lenye nguvu
Ukitamka neno, iwe itakuwa, sina mashaka yesu akiongoza
Bwana, ukitangulia mbele, hapa ushindi ni hakika
Maana yesu ukiwa mbele, ukiongoza njia
Wema wa yesu washangaza, kipi kipya chini ya jua
Zaidi yako, matendo yako mungu
Yametufanya, tuimbe sifa zako ziishi milele
Sababu tumeuona wema, wema wako mkuu
Hujatuacha ah tuteseka, tuumie eeh nakulia
Tuliposhindwa ulisimama, umesimama pamoja nasi bwana
Na safari yetu, japo vikwazo vitishi na shida
Umekuwa, pamoja nasi bwana
Bwana ninajua, we ukitangulia mbele
Nitaona hatua, zangu zikienda mbele
Ushindi ni hakika, maana yesu uko mbele
Ukiniongoza utaimulika njia
Bwana ninajua, we ukitangulia mbele
Nitaona hatua, zangu zikienda mbele
Ushindi ni hakika, maana yesu uko mbele
Ukinionoza, utaimulika njia
Watch Video
About Ushindi ni Hakika
More JAPHET ZABRON Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl